Biashara ya kukodisha ngalawa(mitumbwi) ya uvuvi

Zombi Mweusi

JF-Expert Member
Feb 9, 2017
842
1,743
Habari zenu wakuu poleni na majukumu na ugumu wa maisha wa mitano tena,

Kuna biashara ya mitubwi ya uvuvi nafanya yapata mwezi mmoja sasa nina mitumbwi 10 yenye thamani ya TSH 1.5M yote na nahisi inalipa biashara ipo hivi

Nampa mtumbwi mvuvi kwenda kufanyia kazi akitoka na samaki kama samaki inauzwa mia 400 kwa mmoja mi nanunua kwa shilingi 350 kufidia mtumbwi anaotumia so kama atatoka na samaki 100 inamaana ndakuwa nimepata 5000 mara mitumbwi 10 ndaingiza elfu 50000 kwa siku na hiyo haina kodi wala makato ya aina yeyote

Changamoto;wavuvi wengi sio waaminifu anaweza kupata samaki 500 akampa mtu ambae hatumii mtumbwi wa mtu akabakiza samaki 50 kwahiyo unashindwa kufikia malengo yako

Changamoto nyingine wavuvi ni watu wanaopenda starehe anaweza akanywa pombe kesho asiende kuvua so utakwama kufikia malengo

Nipo bwawa la chimendeli wilaya ya Bahi kama unaweza fika chungulia fursa yeyote na maeneo yenye fursa kubwa ni 3
1)chali isanga
2)chimendeli
3)naguro
Note;sihitaji kufahamiana na mtu maelezo yote ndakuwa natoa hapa nikipata muda mwenye swali tafadhari
 
Nipo bwawa la chimendeli wilaya ya bahi kama unaweza fika chungulia fursa yeyote na maeneo yenye fursa kubwa ni 3
1)chali isanga
2)chimendeli
3)naguro
Note;sihitaji kufahamiana na mtu maelezo yote ndakuwa natoa hapa nikipata muda mwenye swali tafadhari
kwanini usingekuwa unawatoza % fulani ya mauzo Yao ya cku kuwa km malipo ya kutumia mtumbwi wako
au unaonaje hili mkuu
 
Mkuu shilingi 50 imekaa vizuri zaidi kwanza wanaidharu lakini akipata samaki 300 siku 1 mara 50 kuna 15000 halaf kingine mtaanza kusumbuana kwenye asilimia sio kila mtu anauelewa na asilimia
 
Habari zenu wakuu poleni na majukumu na ugumu wa maisha wa mitano tena,

Kuna biashara ya mitubwi ya uvuvi nafanya yapata mwezi mmoja sasa nina mitumbwi 10 yenye thamani ya TSH 1.5M yote na nahisi inalipa biashara ipo hivi

Nampa mtumbwi mvuvi kwenda kufanyia kazi akitoka na samaki kama samaki inauzwa mia 400 kwa mmoja mi nanunua kwa shilingi 350 kufidia mtumbwi anaotumia so kama atatoka na samaki 100 inamaana ndakuwa nimepata 5000 mara mitumbwi 10 ndaingiza elfu 50000 kwa siku na hiyo haina kodi wala makato ya aina yeyote

Changamoto;wavuvi wengi sio waaminifu anaweza kupata samaki 500 akampa mtu ambae hatumii mtumbwi wa mtu akabakiza samaki 50 kwahiyo unashindwa kufikia malengo yako

Changamoto nyingine wavuvi ni watu wanaopenda starehe anaweza akanywa pombe kesho asiende kuvua so utakwama kufikia malengo

Nipo bwawa la chimendeli wilaya ya Bahi kama unaweza fika chungulia fursa yeyote na maeneo yenye fursa kubwa ni 3
1)chali isanga
2)chimendeli
3)naguro
Note;sihitaji kufahamiana na mtu maelezo yote ndakuwa natoa hapa nikipata muda mwenye swali tafadhari
Habari zenu wakuu poleni na majukumu na ugumu wa maisha wa mitano tena,

Kuna biashara ya mitubwi ya uvuvi nafanya yapata mwezi mmoja sasa nina mitumbwi 10 yenye thamani ya TSH 1.5M yote na nahisi inalipa biashara ipo hivi

Nampa mtumbwi mvuvi kwenda kufanyia kazi akitoka na samaki kama samaki inauzwa mia 400 kwa mmoja mi nanunua kwa shilingi 350 kufidia mtumbwi anaotumia so kama atatoka na samaki 100 inamaana ndakuwa nimepata 5000 mara mitumbwi 10 ndaingiza elfu 50000 kwa siku na hiyo haina kodi wala makato ya aina yeyote

Changamoto;wavuvi wengi sio waaminifu anaweza kupata samaki 500 akampa mtu ambae hatumii mtumbwi wa mtu akabakiza samaki 50 kwahiyo unashindwa kufikia malengo yako

Changamoto nyingine wavuvi ni watu wanaopenda starehe anaweza akanywa pombe kesho asiende kuvua so utakwama kufikia malengo

Nipo bwawa la chimendeli wilaya ya Bahi kama unaweza fika chungulia fursa yeyote na maeneo yenye fursa kubwa ni 3
1)chali isanga
2)chimendeli
3)naguro
Note;sihitaji kufahamiana na mtu maelezo yote ndakuwa natoa hapa nikipata muda mwenye swali tafadhari
Vipi mkuu bado unaendelea na hii biashara???
 
Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom