Mamlaka ya uvuvi?

frank ezras

Member
May 5, 2015
73
29
Huku sio kuwaongezea mzigo walipa kodi? Bila shaaka tunahitaji sera zitakazo wajengea uwezo (empowerment) wavuvi serious tulionao badala ya mamlaka. Agency haivui samaki kwani serikali ilishajitoa kwenye biashara.

Kama tatizo ni mfumo wa uzalishaji mali başı tuambiane ukweli kwamba tunaenda ubepari ili Waziri akiomba hela bungeni za kuwawezesha wavuvi wahamie kwenye uvuvi wa kisasa ili kuchangia GDP asishangae mtu.

Samaki wa Magufuli tuliogawa hadi mashuleni walivuliwa na vyombo vya kısasa sio mamlaka (agency). Maboresho katika sera na uwezeshaji yatatulipa kuliko mamlaka.

Wakati TR anahangaika na mashirika yasiyo na tija tuongeze agency nyingine ambayo hatujui ufanisi utakuwaje?🙏
 
Taratibu ,Tulia chini andika vitu vinavyoeleweka sio kila mtu yupo ulipo akiyaona unayoyaona
 
Back
Top Bottom