Biashara ya kuingiza Fertiliser

K tea shop

Member
Feb 19, 2012
60
125
Nina order kupeleka Zambia.

Tani elf 10 na itaendelea kukua kardri muda unavyozidi kwenda

Mazungumzo yanelekea Ukingoni sasa je ni yema kuagiza toka Dubai, Pakistan, India, au Kununua tanzania kisha kuwapelekea?

Tatizo la Tanzania naamini importers nao watakuwa wameongeza cha juu cha kwao

Tatizo lingine la TZ ni kama nitanunua toka kwenye viwanda vyetu hapa itakuwa ni tatizo kwa sababu naamini itakuwa ghali kuliko kuagiza toka nje

Ushauri wenu please
 

Ngozi Joram

JF-Expert Member
Sep 9, 2016
660
1,000
Mbolea inayozalishwa Tz ni minjingu phosphate nadhani. But wasilian na kiwanda ujue kama wana mbolea unayohitahi ww. Ila uingizaji wa mbolea una taratibu nyingi hukitaka kujua nenda mamlaka ya mbolea ofc zao zipo wzr ya kilimo na chakula pale nyuma ya tazara dar
 

K tea shop

Member
Feb 19, 2012
60
125
Mbolea inayozalishwa Tz ni minjingu phosphate nadhani. But wasilian na kiwanda ujue kama wana mbolea unayohitahi ww. Ila uingizaji wa mbolea una taratibu nyingi hukitaka kujua nenda mamlaka ya mbolea ofc zao zipo wzr ya kilimo na chakula pale nyuma ya tazara dar

Mimi siihitaji kwa matumizi hapa Tanzania

nina order ta kupeleka nchi jirani

sasa na mimi nataka niweke cha juu changu kwenye kila kilo moja

Je Quality vipi kati ya mbolea ya kuagiza na ya hapa nchini?
 

MJ Dannie

Member
Oct 28, 2015
61
125
Fertilizer ya aina gani mkuu? Na kwanin usifungue kiwanda cha kutengenza mpaka u-import?

Mimi n mwanafunzi wa UD namaliza mwaka huu, nina idea ya kutengeza mbolea kwa kutumia other raw materials rather than Phosphate rock wanayotumia Minjingu ambayo itakua at cheaper price. Tatizo n kukosa mtaji tu.

Kama utakua interested tuwasiliane PM.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom