Biashara ya kufyatua matofali

dominion

Member
Mar 8, 2017
25
13
Habarini wanaJF!
Naombeni ushauri na pia kama mna idea nyingine naombeni mnisaidie.
Ndiyo nipo kwenye research yangu hii ndogo,ningependa kufahamu bei ya mashine MUHIMU za kutengeneza matofali na ile machine ya kuchanganya mchanganyiko ndiyo tofali zitengenezwe ....gunia moja la cement linatoa tofali ngapi kwa kiasi gani ya mchanga na changarawe,changamoto ya hii biashara na ...naamini hizi machine zitakuwa zinatumia 3 phase level ya umeme(ningependa kufahamu bei ya kupata hiyo connection ya umeme)
***hii biashara inalipaa???***
Mahali napotegemea kufanya huu biashara ni ARUSHA.
NB:capital/mtaji wangu sio mkubwa sana,kwahivyo ningefurahi mtu anipatie mahesabu ya kiwango cha kawaida ili nione kama kamtaji kataweza niwezesha nifungue hii business.

Nawasilisha kwenu wakuu!
 
mtaji 10 million hapo kama una tipa za kubebea mcjanga unatoka fasta 2
Shukran kwa mchango wako....huku JF huwezi tag watu waweze kuchangia wengi zaidi...bado zijaizoea hii app kiviile
 
Shukran kwa mchango wako....huku JF huwezi tag watu waweze kuchangia wengi zaidi...bado zijaizoea hii app kiviile
wala usipate taabu hapa kuna kila kitu juu ya maisha yetu hasa bongo lakini ia kuna utapeli pia lazima tuseme jf baadh ya majukwaa yamekuwa kichaka cha matapel....
 
Back
Top Bottom