Naombeni msaada kuhusu biashara ya Welding

Mimi kijana naitaji kufungua workshop ya welding kwa ajili ya kuchomea na kutengeneza vitu vya chuma

NAOMBENI kujua Bei za machine na changamoto ya hii biashara
Ukitaka mfanyakazi wa welding nicheki mkuu.. Nipo vizuri kwa aina zote za uchomeleaji mkuu..
 
Pamoja na hiyo Edon, awe na heavy duty moja local made. Hizo za kichina ni nzuri kwa light duty na kazi za site.
Nakumbuka hata mie nimejifunzia haya Local , na mwalim wangu mmoja alikuwa specialist kwenye welding huko ujerumani.. nilikuwa nikichomelea mzee lazima ubaki mdomo wazi.. ngomaaa inatoka smooth
 
Haha, haya local kama una ofisi ya welding ni muhimu kuwa nalo tu, hata kama hulitumii kila siku ila liwepo tu. Hata zile za kuchaji battery, unaweza kununua za kichina ila muhimu kuwa na hizi local.
 
Sure, kuna mahala walikuwa na hivi vimachine vyenye umbo la kuvutia mbona tulishindwa kufanya kazi . Ila pia issue capital kama una hela kuna machine babu kubwaaa ila sasa uwe na uhakika wa kazi za maana kama huko bandarini kama bwana B&Q na wengineo
 
Unaweza tafuta kijiwe cha kazi ambapo tutapata kazi za maana, lengo tufungue ofisi nimeona umeandika kuwa una uzoefu.

Mkuu njoo pm km inaitaji kufanya biashara hyo mm n fundi mzuri tu cna ofcn Kwa ss ila uzoefu na kazi hii ninayo na material najua yanapatikana wap na vifaa mm ninavyo baadhi km ukitaka tuongeze vingine vya kufanya kazi Bora zaidi n ww tu ,karbu pm tubadilishane namba mm bd kijana ila Nina udhoefu ktk hii kz.tutafanya mengi km tutaaminia ,hii kazi Ina helaa ukiwa na mtajii ..

NIAMINI na karibu mkuu
 
Kijiwe kipo mkuu njoo pm tujue tunaanzaje kufanya kazi ..

Mwanzo mgumu lakinii
 
Mkuu njoo pm km inaitaji kufanya biashara hyo mm n fundi mzuri tu cna ofcn Kwa ss ila uzoefu na kazi hii ninayo na material najua yanapatikana wap na vifaa mm ninavyo baadhi km ukitaka tuongeze vingine vya kufanya kazi Bora zaidi n ww tu ,karbu pm tubadilishane namba mm bd kijana ila Nina udhoefu ktk hii kz.tutafanya mengi km tutaaminia ,hii kazi Ina helaa ukiwa na mtajii ..

NIAMINI na karibu mkuu

Upo wapi
 
Back
Top Bottom