Biashara ya ku-topup simu ni Biashara kichaa

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,025
Reaction score
102,414
Wateja wanaotaka simu latest mfano iPhone 17 kwakua hawana cash wanapeleka simu yao za zamani mfano iPhone 16 kisha wanaongezea hela naona kabisa hawako sawa kichwani


Yaani nikupe simu na nikuongezee Mil 1.6 kwahiyo simu yangu (mfano iPhone 16 Pro) inathamani gani? Laki 5 au? Maana huwezi niambia iPhone 17 Pro inauzwa zaidi ya Mil 2.
 
Izi iphone 17 pro mbona ni zaidi ya 3M mkuu.

Mi nafahamu walio top up kwa iphone 13 pro wakaongeza 2.9M kupata pro max ya 17
 
Huu ni utapeli au Wizi wa kimacho macho.
😂😂😂
 
Hapana mkuu, kumbuka unavyo acha simu yako hapo inakaa, na pia kumbuka time is money. Kingine pia latest version Huwa zinakuwa juu..

Ila kingine ni kuwa lengo lako ni kupata brand new, so itakulazimu tu utoe hiyo pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…