Ni kweli, wengine wameamua kuchanganya na ishu za betting ili angalau wapate pesa ya kutosha, wengine wamefunga kabisa, wengine wamefungua biashara nyingine, ishu ya betting now nafikiri ni Vodacom wameanzisha pia, betting ya mambo ya football, kazi ipo!
Nothing ever stays the same. Technology is always a game changer.
Even things like travel agencies, daladalas, pump attendants at gas stations, watchmen/korokoroni, madalali wa nyumba, street voucher vendors etc. will soon be gone.
Dang.uro ndo mpango mzima achana na internet cafe
jaribu fungua watoto wacheze gameLeseni ya Internet cafe 400,000 kwa mwaka biashara kwa mwezi 30,000 hapo hujalipia kwa provider 110,000 umeme 20,000 mfanyakazi 80,000 aaaaaah binafsi imenishinda biashara hii nina kompyuta 20 nataka kufungua darasa la kompyuta tu
Dang.uro ndo mpango mzima achana na internet cafe
Nimekupata mkuu, nilifikiri pia kuweka stationery lakini zipo kibao. Hapa sasa pasua kichwa kabisa.Mkuu smartphones na moderm zimeharibu sana biashara ya internet cafe, nakushauri jaribu kufikiria biashara nyingine kulingana na eneo ulilopo
Najaribu kubrain storm business atleast ya kunikeep busy wakati huu mgumu nilionao baada ya kuhitilafiana na boss wangu. Nina km 2M mkononi nimeulizia frame zinaenda kwa laki 8 annually, nabaki na 1.2 in hand. Nina desktop 1 ya kurepare iliungua power supply, naweza tumia hata laptop yangu kusuppliment assets zinazohitajika. Ni vitu gani vingine vitahitajika wadau ili kufanikisha wazo hili? Je biashara hii itanilipa hata kihela tu cha kuhemea msosi in the meanwhile nasaka sehemu nyingine ya kufanya kazi? Mtaji wangu je, utatosha?
Nipo maeneo ya Kijiweni njia ya kwenda Malimbe SAUT, ushauri wenu utanifaa sana wakuu hata kama kuna wazo mbadala linakaribishwa. Asanteni.
Mkuu hata mimi nimeona suala la kuajiriwa ni mufilisi, tatizo boss kaniwahi kabla sijaaccumulate kicapital toshelevu sasa nataka nikidundulize hiki. Business ipi inaweza nitoa kwa kuanzia labda?iyo pesa mingi sana ukiingia kwa biashara achana kabisa na kazi za kuajiriwa, wekeza 1 m then sikilizia iyo internet cafe tupa kule!
Ngoja nijaribu kusurvey maeneo mengine nione cha kufanya. Thanks mkuu.Kwau shauri wnagu achana na internet cafe its better ukatafuta business nyingine, kumbuka sasa ivi technology imekuwa simu hata ya kichina torch ina access internet kwa hapo sikubaliani na wewe, you just find another business to do.