Biashara ya internet

Biashara ya internet

Ni kweli, wengine wameamua kuchanganya na ishu za betting ili angalau wapate pesa ya kutosha, wengine wamefunga kabisa, wengine wamefungua biashara nyingine, ishu ya betting now nafikiri ni Vodacom wameanzisha pia, betting ya mambo ya football, kazi ipo!

I mean, nafikiri na Vodacom wameanzisha pia
 
Nothing ever stays the same. Technology is always a game changer.
Even things like travel agencies, daladalas, pump attendants at gas stations, watchmen/korokoroni, madalali wa nyumba, street voucher vendors etc. will soon be gone.
 
Nakumbuka matumizi ya computer yalivyoingia watu wengi walipunguzwa makazini
 
Biashara ni kitu kinachobadilika sana kutegemea na maendeleo ya teknolojia.Uwepo wa smartphone,tablet umeua kabisa baadhi ya biashara ndogo zilizokuwa zinapatikana kwenye sekta ya ICT.
 
Leseni ya Internet cafe 400,000 kwa mwaka biashara kwa mwezi 30,000 hapo hujalipia kwa provider 110,000 umeme 20,000 mfanyakazi 80,000 aaaaaah binafsi imenishinda biashara hii nina kompyuta 20 nataka kufungua darasa la kompyuta tu
jaribu fungua watoto wacheze game
 
Ni kweli lazima ufanye feasibility study...Ila

Ukianzisha internet cafe, basi isiwe tu kwa wataokuja na kusoma emails, lazima uweke mambo mengine..Kama
  • Stationery pale ya kuuza vitu kadhaa, kuprint, laminate na binding, passport size pictures n.k.
  • Chai na ghahawa na vi snacks...
  • Kuuza hata used laptops, chargers za simu na gadgets mbalimbali, desktops, ipads, simu, max malipo n.k.
  • Repairs za hizo gadgets...
Natumaini ukfanikiwa kuset haya yote basi italipa tu...bila kusaau uhusike, na usifanye kosa la kuweka wafanyakazi wengi mno, mmoja na fundi watosha kabisa kama hutakuwepo, ila ukiwepo basi utaihitaji msaidizi mmoja tu apo..
 
Kuna jamaa yangu anaitwa BIG wa Mwenge yeye kaona ishiwe shida kopyuta zote alizokuwa anafanyia biashara ya net kajaza porno za kila aina watoto wa makongo, mbezi, sinza na mwenge wanajaa karibu kila siku
Maisha ni ujanja tu
 
bei za modem na laptop zilivyoshuka plus smartphones na tablets who goes to the internet cafe anymore? ila miaka ya tisini na early 2000s ndo ilikuwa mpango mzima. na sasa cafes with free wifi zinakuja so we unaenda kula au kupata gahawa internet unapewa bure
 
Najaribu kubrain storm business atleast ya kunikeep busy wakati huu mgumu nilionao baada ya kuhitilafiana na boss wangu. Nina km 2M mkononi nimeulizia frame zinaenda kwa laki 8 annually, nabaki na 1.2 in hand. Nina desktop 1 ya kurepare iliungua power supply, naweza tumia hata laptop yangu kusuppliment assets zinazohitajika. Ni vitu gani vingine vitahitajika wadau ili kufanikisha wazo hili? Je biashara hii itanilipa hata kihela tu cha kuhemea msosi in the meanwhile nasaka sehemu nyingine ya kufanya kazi? Mtaji wangu je, utatosha?
Nipo maeneo ya Kijiweni njia ya kwenda Malimbe SAUT, ushauri wenu utanifaa sana wakuu hata kama kuna wazo mbadala linakaribishwa. Asanteni.
 
Mkuu smartphones na moderm zimeharibu sana biashara ya internet cafe, nakushauri jaribu kufikiria biashara nyingine kulingana na eneo ulilopo
 
Mkuu smartphones na moderm zimeharibu sana biashara ya internet cafe, nakushauri jaribu kufikiria biashara nyingine kulingana na eneo ulilopo
Nimekupata mkuu, nilifikiri pia kuweka stationery lakini zipo kibao. Hapa sasa pasua kichwa kabisa.
Asante kwa ushauri.
 
Najaribu kubrain storm business atleast ya kunikeep busy wakati huu mgumu nilionao baada ya kuhitilafiana na boss wangu. Nina km 2M mkononi nimeulizia frame zinaenda kwa laki 8 annually, nabaki na 1.2 in hand. Nina desktop 1 ya kurepare iliungua power supply, naweza tumia hata laptop yangu kusuppliment assets zinazohitajika. Ni vitu gani vingine vitahitajika wadau ili kufanikisha wazo hili? Je biashara hii itanilipa hata kihela tu cha kuhemea msosi in the meanwhile nasaka sehemu nyingine ya kufanya kazi? Mtaji wangu je, utatosha?
Nipo maeneo ya Kijiweni njia ya kwenda Malimbe SAUT, ushauri wenu utanifaa sana wakuu hata kama kuna wazo mbadala linakaribishwa. Asanteni.

iyo pesa mingi sana ukiingia kwa biashara achana kabisa na kazi za kuajiriwa, wekeza 1 m then sikilizia iyo internet cafe tupa kule!
 
Kwau shauri wnagu achana na internet cafe its better ukatafuta business nyingine, kumbuka sasa ivi technology imekuwa simu hata ya kichina torch ina access internet kwa hapo sikubaliani na wewe, you just find another business to do.
 
iyo pesa mingi sana ukiingia kwa biashara achana kabisa na kazi za kuajiriwa, wekeza 1 m then sikilizia iyo internet cafe tupa kule!
Mkuu hata mimi nimeona suala la kuajiriwa ni mufilisi, tatizo boss kaniwahi kabla sijaaccumulate kicapital toshelevu sasa nataka nikidundulize hiki. Business ipi inaweza nitoa kwa kuanzia labda?
Asante.
 
Kwau shauri wnagu achana na internet cafe its better ukatafuta business nyingine, kumbuka sasa ivi technology imekuwa simu hata ya kichina torch ina access internet kwa hapo sikubaliani na wewe, you just find another business to do.
Ngoja nijaribu kusurvey maeneo mengine nione cha kufanya. Thanks mkuu.
 
Back
Top Bottom