Biashara ya internet

Biashara ya internet

Najaribu kubrain storm business atleast ya kunikeep busy wakati huu mgumu nilionao baada ya kuhitilafiana na boss wangu. Nina km 2M mkononi nimeulizia frame zinaenda kwa laki 8 annually, nabaki na 1.2 in hand. Nina desktop 1 ya kurepare iliungua power supply, naweza tumia hata laptop yangu kusuppliment assets zinazohitajika. Ni vitu gani vingine vitahitajika wadau ili kufanikisha wazo hili? Je biashara hii itanilipa hata kihela tu cha kuhemea msosi in the meanwhile nasaka sehemu nyingine ya kufanya kazi? Mtaji wangu je, utatosha?
Nipo maeneo ya Kijiweni njia ya kwenda Malimbe SAUT, ushauri wenu utanifaa sana wakuu hata kama kuna wazo mbadala linakaribishwa. Asanteni.

mkuu umeumia hapo sipo penyewe lazima urudishewfrem tu
 
mkuu njoo tuonane. tushauriane uswahili utacapitalize huo mtaji lakini huko majanga. 0713665909
 
Alafu biashara hii ya internet cafe pamoja na kufa taratibu nenda kaulize gharama za leseni sasa.......upuuzi mtupu.......sometimes serikali inahitaji watu wanasoma alama za nyakati ili walau hii biashara iendelee kupumua kusaidia wasioweza kuwa na simu za gharama.......
 
habari kaka kuna posti yako uliituma kuwa unataka kufungua internet cafe bongo je vpi ulishafungua
 
Biashara ya Internet inaonekana kuwa ni nzuri,sasa wale wenye uzoefu naomba watupe details namna unavyowezaweza kutengeneza faida.
 
Alafu biashara hii ya internet cafe pamoja na kufa taratibu nenda kaulize gharama za leseni sasa.......upuuzi mtupu.......sometimes serikali inahitaji watu wanasoma alama za nyakati ili walau hii biashara iendelee kupumua kusaidia wasioweza kuwa na simu za gharama.......
Mkuu,kwani gharama zake za leseni zikoje???.
 
vipi wakuu habari za christmas huku mkijiandaa na mwaka mpya naitaji mnielewsheshe hapa kuhusu biashara ya internet cafe je ina lipa na mambo gani natakiwa niyafanye
 
Na haya ma-smartphone mkuu siku hizi soko la internet cafes ni kama limedorola kidogo, kama una interest na unaona unahitaji basi jiandae uwe na mtaji mkubwa iwe ya ukweli na uwe na kila kitu uiunganishe na stationary
 
Weka Internet Cafee, Stationary, hakikisha unakua Na photocopy machine, printing machine ya kisasa ambayo unaweza Ku print hata picha za kawaida au passport size, tigo pesa Na m pesa, utapiga hela mkuu! Hata iweje still bado tunahitaji Huduma ya internet cafee, sometimes unatumiwa documents kwa email yako then inatakiwa u print au unahitaji Ku scan documents kwa ajiri ya kutuma sehemu n.k

So muhimu Ni kuhakikisha unapata sehemu sahihi kwa ajiri ya biashara yako!
Kila la heri mkuu!
 
vipi wakuu habari za christmas huku mkijiandaa na mwaka mpya naitaji mnielewsheshe hapa kuhusu biashara ya internet cafe je ina lipa na mambo gani natakiwa niyafanye
watu wanatumia simu siku hizi, kufunga safari kwenda care si usumbufu huo dogo?biashara ya analogi hiyo.
 
vipi wakuu habari za christmas huku mkijiandaa na mwaka mpya naitaji mnielewsheshe hapa kuhusu biashara ya internet cafe je ina lipa na mambo gani natakiwa niyafanye
SmartPhone imeshauwa soko la internet cafe....buni miradi mingine
 
Kwa yeyote mwenye ufahamu kuhusu biashara ya internet cafe naomba tufannye kushare maujuzi hapa kuhusu changamoto na utofauti wa hii biashara na biashara zingine kwa maana ya faida na mambo kama hayo..Asanteni
 
Back
Top Bottom