Biashara ya hardware kwa mtaji wa mil.7

Inategemea maeneo uliyiopo, unaweza kufungua hardware ndogo ukaikuza taratibu, ila uwe na adabu faida irudi dukani mpaka mtaji ukue.

Yupo rafiki yangu alifungua duka la spear na milioni 3 saivi zinakimbilia 15, disciple ndo kila kitu.

Wanaokuambia pesa ni kidogo waambie wakuongezee.
Spea za nini gari, pikipiki?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hardware hiyo pesa ni chache tafuta frame maeneo yaliyo changamka kama maeneo ya stend au sokoni na uuze simu za batani na smart phone za kuanzia 100k mpaka 280k uweke na vifaa vya simu na vitu vidogo vidogo vya electronic kama Bluetooth speaker na vingine vidogo vidogo pesa ikibaki unaweza ukaweka na huduma ya M-pesa. Note usiweke pesa yote kwenye biashara utafeli
Umemshauri vyema sana namimi nalichukua wazo lako kama lilivyo nifanyie kazi kama nitaweza nitakujulisha
 
Habarini wakuu,

Nina mtaji wa milion 7 nataka nianzishe biashara ya hardware, naomba kwa wazoefu wa biashara hii wanijuze wap naweza pata location nzuri kwa Mkoa wa Dsm na kwa mtaji huo ninaweza kuspecialize na vitu gani kwa kuanzia.

Ahsanteni, nasubiri feedback kutoka kwenu wazoefu wa biashara hii.
Umeshaanza??
 
Mkuu hakuna mtaji mdogo wala mkubwa kwenye biashara yote ile.
Hiyo pesa inatosha kwa kuanzia.
Muhimu tafuta eneo zuri lenye idadi ya watu wengi ambao wanaweza kuwa wanunuzi.
Zingatia sana kuwe na watu wengi lkn watakaohitaji bidhaa utakazokuwa unauza.
Kwa pesa hiyo usianze na vitu vikubwa kama vile nondo, saruji, mbao nk.
Anza na vitu vidogo kama vile Nyundo, misumeno, misumari, tape measure, bidhaa za umeme kama vile nyaya za umeme, balbu nk.
Usihamishe goli kwa kufikiria kufanya kitu tofauti na unachopenda kufanya.
Nakutakia mwanzo mwema na mwaka ujao tarehe kama hizi lete mrejesho.
 
Mkuu hakuna mtaji mdogo wala mkubwa kwenye biashara yote ile.
Hiyo pesa inatosha kwa kuanzia.
Muhimu tafuta eneo zuri lenye idadi ya watu wengi ambao wanaweza kuwa wanunuzi.
Zingatia sana kuwe na watu wengi lkn watakaoitaji bidhaa utakazokuwa unauza.

Nakutakia mwanzo mwema na mwaka ujao tarehe kama hizi lete mrejes

Mkuu hakuna mtaji mdogo wala mkubwa kwenye biashara yote ile.
Hiyo pesa inatosha kwa kuanzia.
Muhimu tafuta eneo zuri lenye idadi ya watu wengi ambao wanaweza kuwa wanunuzi.
Zingatia sana kuwe na watu wengi lkn watakaoitaji bidhaa utakazokuwa unauza.
Kwa pesa hiyo usianze na vitu vikubwa kama vile nondo, saruji, mbao nk.
Anza na vitu vidogo kama vile Nyundo, misumeno, misumari, tape measure, bidhaa za umeme kama vile nyaya za umeme, balbu nk.
Usihamishe goli kwa kufikiria kufanya kitu tofauti na unachopenda kufanya.
Nakutakia mwanzo mwema na mwaka ujao tarehe kama hizi lete mrejesho.
Asante mkuu kwa ushauri wako.. bado naendelea kutafuta location mzuri
 
Inategemea maeneo uliyiopo, unaweza kufungua hardware ndogo ukaikuza taratibu, ila uwe na adabu faida irudi dukani mpaka mtaji ukue.

Yupo rafiki yangu alifungua duka la spear na milioni 3 saivi zinakimbilia 15, disciple ndo kila kitu.

Wanaokuambia pesa ni kidogo waambie wakuongezee.
Mkuu hapa mwisho nimecheka sana 😀
 
Kwa hardware hiyo pesa ni chache tafuta frame maeneo yaliyo changamka kama maeneo ya stend au sokoni na uuze simu za batani na smart phone za kuanzia 100k mpaka 280k uweke na vifaa vya simu na vitu vidogo vidogo vya electronic kama Bluetooth speaker na vingine vidogo vidogo pesa ikibaki unaweza ukaweka na huduma ya M-pesa. Note usiweke pesa yote kwenye biashara utafeli
Umesema kweli
 
Usikate tamaa mimi nilianza na mataji ulio Chini ya hapo nilianza na kuuza cement tu vitu vingine niliendelea na naendelea kuongeza hadi saiv
 
Habarini wakuu,

Nina mtaji wa milion 7 nataka nianzishe biashara ya hardware, naomba kwa wazoefu wa biashara hii wanijuze wap naweza pata location nzuri kwa Mkoa wa Dsm na kwa mtaji huo ninaweza kuspecialize na vitu gani kwa kuanzia.

Ahsanteni, nasubiri feedback kutoka kwenu wazoefu wa biashara hii.
Kwa kunzia inatosha kabisa kwa hadware ya kawaida ukimix na vifaa vya umeme, vitasa vya milango misumari size zote, makomeo disk za kukatia chima na vungne vingi vodogo vidogo hadi mtaji ukue
 
Kwa hardware hiyo pesa ni chache tafuta frame maeneo yaliyo changamka kama maeneo ya stend au sokoni na uuze simu za batani na smart phone za kuanzia 100k mpaka 280k uweke na vifaa vya simu na vitu vidogo vidogo vya electronic kama Bluetooth speaker na vingine vidogo vidogo pesa ikibaki unaweza ukaweka na huduma ya M-pesa. Note usiweke pesa yote kwenye biashara utafeli
Huo mtaji mkubwa inatakiwa atafue uchocholo wanakojenga sana mbona atauza tu hasa wajengaji wadogo wadogo
 
Inategemea maeneo uliyiopo, unaweza kufungua hardware ndogo ukaikuza taratibu, ila uwe na adabu faida irudi dukani mpaka mtaji ukue.

Yupo rafiki yangu alifungua duka la spear na milioni 3 saivi zinakimbilia 15, disciple ndo kila kitu.

Wanaokuambia pesa ni kidogo waambie wakuongezee.
Tatizo baadhi ya wabongo wanadhani lazima uwe na mtaji mkubwa wanashindwa kuelewa kuwa mbuyu ulianza kama mchicha
 
Back
Top Bottom