Ikwa na vifaa vya kutosha kama vile dumbbells uzito tofauti hata seti 5 , bench 2 za chest, za triceps, z bar za biceps...
Zingatia na watu wa aerobics hasa wakina dada jkiweza kuwateka itapendeza zaidi...
Maana hawa hufanya mazoez siku mbili tatu na kupotea wakipata maumivu


inabidi uwape elimu kadri wanavyofanya ndio mwili huzoea!
Bjnafsi iwe local gym , au ya kisasa zowte zinalipa kila moja kutokana na uwekezaji wake.
Za kisasa bei kiwango cha chini ni kati ya Tshs 10,000 /siku , 150,000/mwezi.
Local gym bei kiwango cha chini ni kati ya Tshs 2,000 /siku , 30,000/mwezi.
Ni biashara inayolipa sana, ukisimamia vizuri
Vifaa vya kutosha , marketing nzuri, mazingira mazuri ya kufanyia mazoezi.
Inalipa kuliko hata mtu aliyejenga vyumba vitano uswazi akodishe kwa Tshs 50,000/=
Maintenance yake ni ndogo , local gym utahitaji si chini ya 3mil+ kwa kuanzia