Wakuu mambo vipi.
Kwa wale wafanyabiashara wote wakubwa na wadogo, naomba tupeane mbinu ambazo huwa mnazitumia kupata mitaji pindi biashara zetu zinapopitia changamoto.
Changamoto ya kupata mtaji, au kuweza kupata back-up ya mtaji kwa haraka kwa upande wangu imekuwa inanisumbua kwa muda mrefu, hasa pale ikitokea kwa namna moja au nyingine kiasi cha mtaji kimekwama sehemu (Mfano:- Kuchelewa kulipwa, kutokana na aina ya biashara niliyopo ya kutoa huduma)