Biashara ya gereza !!.

Biashara ya gereza !!.

Natumaini mu wazima wa afya. Nina wazo la biashara mpya kabisa hapa nchini. Ni uwekezaji katika MAGEREZA ZA WATOTO NCHINI. kufanya uwekezaji wa Ujenzi wa Magereza ya kisasa yenye mahitaji yote Kwa ajili ya mtoto ili anapotumikia adhabu ,aitumikie katika mazingira yasio athili utoto wake.
Gereza liwe na Huduma bora za maradhi,lishe,elimu,afya,michezo. Gereza like na shule za kisasa zenye maabara za kisasa na walimu kutoka taasisi zinazotambulika. Mtoto atapata Huduma za unifomu, mavazi, na stationary shuleni bila Tatizo,viwanja vya michezo na walimu wa michezo wakiwaongoza nyaja hiyo.
Afya na maradhi, gereza litakuwa na Hospital ya kisasa maalumu Kwa watoto,madaktali wenye sifa.
Lishe ya watoto italatibiwa na mtaalamu wa afya.
Nyumba za ibada zitakuwepo Kwa kila dini ili kutoathili imani ya mtoto.
Ninachoitaji kuelewa je serekari itakuwa tayari kumgalamia kila mtoto atakae kuwa akitumikia adhabu kama nchi nyingine zinavyofanya ili kuilinda haki na hadhi ya moto?
Kwa mazingira haya,kila mtoto atafanya kosa ile aende kutumikia adhabu. Hilo ni gereza au Paradise ?[emoji4] [emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini usianze kutetea watoto wasifungwe?
Unajua maana ya jela kwanza??

(Hivi Jela za watoto Tz ziko wapi?)
 
Natumaini mu wazima wa afya. Nina wazo la biashara mpya kabisa hapa nchini. Ni uwekezaji katika MAGEREZA ZA WATOTO NCHINI. kufanya uwekezaji wa Ujenzi wa Magereza ya kisasa yenye mahitaji yote Kwa ajili ya mtoto ili anapotumikia adhabu ,aitumikie katika mazingira yasio athili utoto wake.
Gereza liwe na Huduma bora za maradhi,lishe,elimu,afya,michezo. Gereza like na shule za kisasa zenye maabara za kisasa na walimu kutoka taasisi zinazotambulika. Mtoto atapata Huduma za unifomu, mavazi, na stationary shuleni bila Tatizo,viwanja vya michezo na walimu wa michezo wakiwaongoza nyaja hiyo.
Afya na maradhi, gereza litakuwa na Hospital ya kisasa maalumu Kwa watoto,madaktali wenye sifa.
Lishe ya watoto italatibiwa na mtaalamu wa afya.
Nyumba za ibada zitakuwepo Kwa kila dini ili kutoathili imani ya mtoto.
Ninachoitaji kuelewa je serekari itakuwa tayari kumgalamia kila mtoto atakae kuwa akitumikia adhabu kama nchi nyingine zinavyofanya ili kuilinda haki na hadhi ya moto?
Sasa mkuu hilo litakuwa gereza au shule ya kisasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom