Biashara ya daladala Dar ishaingia mdudu

Biashara ya daladala Dar ishaingia mdudu

Kwa foleni hizo tunazoziona halafu dalax2 wakose kazi haiwezekani
Mbona mwendapole wameishashindwa kabla hawajaanza?
 
Watu wengi sana daladala ana abiria wake na mwendokasi ana abiria wake
Hapa inazungumzwa in terms of business. SSB Group au METL hakuna yenye uwezo wa kulisha hata 8% ya Watanzania ila ikianzishwa kampuni nyingine kwenye vyakula kubwa kama Azam au Mo tiyari biashara zao zinaguswa pakubwa.

Profitability ya daladala sidhani kama itaendelea kuwa vilevile. Ushahidi ni treni ya Mwakyembe, ilipoanzishwa daladala za route hiyo walipata matokeo yake pamoja na watu kuwa wengi bado.
 
Ubaya wa route ya mbagala hata labda wawekewe treni ya mwakyembe kidogo ndio itaathiri daladala lakini si mwendokasi.
 
Acha uongo wewe Mbezi ya wapi kuna daladala za route ya posta au kariakoo..labda bajaji
Zipo za kwenda Mnazi Mmoja ila hazipiti Morogoro road. Zikitoka Mbezi hadi Kimara Korogwe zinapita barabara ya Maji Chumvi, Makuburi hadi External. Baada ya hapo, kuna zinazopita Buguruni, nyingine zinapita Ubungo Maziwa, kisha zinakutana Karume, Kkoo, hadi Mnazi Mmoja.
 
Mwaka huu nimeagiza mabasi mia ya kwenda Mbwinde na Mbagala.
 
Back
Top Bottom