mtvbase said: ↑
Kwanini inakuwa hivi mkuu naomba nijuze tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
CHAULA RICH said: ↑
Mkuu uko vizuri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
dikembe said: ↑
Hawa watu wa sampuli hii ndio wale wale ambao wanataka kila kitu kwao kifanyike kwa malipo wakati kuna vitu unaweza share bure na wala isikugharimu kitu sasa hapo anataka akampige mtu kitu kwa kujifanya ana akili za MUNGU ambazo anatakiwa ampe huyo bi dada kumbe na yeye mganga njaa tu anatafuta pa kupiga ili aishi mjini...... Aseme hapa uone kama sio ushauri hewa
SONY Xperia Z5 Premium
Kiboko. said: ↑
Kabisa na ndicho nilichosema hapo juu......hii ndio ile sampuli ya misheni town ambao wanaidea za biashara na maisha ila cha ajabu wanakaa wakisubiri kushauri wengine inamaana hawana mbele wala nyuma
SONY Xperia Z5 Premium
Zero 2 Hero said: ↑
Mkuu vipi tufanye mpango, niwe nakuletea mayai ya kuku wa kienyeji.
Gmarra said: ↑
mkuu m nashida na ya kisasa
Sent using Jamii Forums mobile app
kingsaula said: ↑
Njoo pm tuzungumze ndgu.
Usk chanya
I am your Professional Logo Designer :: Reload your Image. Get a Logo :: +255 688 999 006 (calls, texts & whatsapp)
Changamoto ya chipsi ni kukopwa na wadada Forums General Forums
Biashara, Uchumi n...
8 9 10 11 12 13
#1 Jun 30, 2012 Kilahunja
JF-Expert Member
Habari wana jamii..
Ninashida ya kupata taarifa ya biashara ya chips.nimepata wazo hili na nina mtaji wa 1M, naishi dar na ninapenda sana biashara hii japo sina ujuzi. Yeyote mwenye kujua naomba anijulishe.
Asante sana.
Habari ndugu wana jamii forum,naomben msaada wa mawazo yenu juu ya kuendesha biashara ya chips na kuhakikisha kila mwisho wa siku unao mchanganuo mzuri wa faida na hasara
Naomba aliyewahi kuifanya aniambie changamoto zake kulingana na eneo alilowahi kufanyia. Nishanunua vifaa na nishampata dogo mmoja, sehemu kuna mchanganyiko wa watu na hela ya kulipia kibaraza sio kubwa maan ninaeka na kafriji!
Sasa nataka kujua ni mambo gani ya kuzingatia, lakini pia nilitaka niweke sehemu kubwa kidogo ila sijapata sehemu ambayo ni classic on the long run nitengeneze brand yangu ya chips, msaada!
Sasa tatizo jingine, nataka kujua changamoto za hii mambo. Japo hii ni biashara yangu ya pili ya msosi ila sio nyanja hii. Please msaada kwa aliyewahi ifanya!
Kijana kwanz umefanya vizuri kuomba ushauri, achana na watu wenye mawazo mgando, mimi ninauzoefu kiasi flan juu ya biashara ya chips. Biashara ya chips inaweza ikakulipa sana tu bt katika mazingira ya fuatayo mbali na mtaji.
1: LOCATION: hiki ni kitu cha msingi sana unaweza kuwa na mtaji wa kutosha bt ukikosea location inakula kwako-tafuta hasa eneo ambalo lina traffic ya watu au sehemu za biashara na maofisi:
2: Usimamizi wa karibu-usimamie wewe mwenyewe au mtu wako wa karibu sana la sivo vijana watakuliza, kuwa makini kutafuta vijana wa kukusaidia kazi zingatia hasa uaminifu.
3: Good customer care na ubunifu kwenye biashara: ukizingatia haya biashara hii inaweza kukulipa net profit ya laki mbili kwa siku :
NB itatemeana na eneo utakalotafuta bt m3 inatosha sana
BIASHARA YA CHIPS IPO HIVI
Biashara hii inafanywa kwa makubaliana ya kumpangishia kijana mahala pakufanyia kazi,mahitajio yote muhimu km viazi, kalai, sahani, jiko, mafuta na pesa, tomato na vingine ikiwezekana na pesa kidogo ya dharura..
sasa kinachotakiwa kwenye mkataba wenu ni kwamba yeye aendeshe hiyo biashara anavyojua yeye ameuza hajauza lazima akupe kiasi fulani ambacho ww utakiona kitafaa kukulipa kwa mtaji uliouanzisha, malipo mtalipana kwa jinsi eneoo la biashara litakavyokuwa aidha kwa siku au kwa wiki is it up to nyinyi..
HAKUNA HAJA YA KUMFATILIA WEWE FANYA SHUGHULI ZAKO,ikifika muda wa kukupa fedha yako fasta usichelewe nenda kaichukue...km itakuwa anakupa pungufu ya ile mliokubaliana mvumilie kwa kipindi fulani tu nasi mda mwingi,lingine hakikisha unapata muda wa kuhakiki mtaji km unaendelea vizuri.
Mtaji wa 1M kwa chips Dar es salaam ni mdogo kv ukitaka eneo zuri hiyo 1M inaweza kuishia kwenye kukodi eneo! Kwa mfano, kodi ya laki 1 kwa mwezi utapata eneo la kawaida sana ambalo linaweza lisiwe na biz mzuri! Na hata ukipata eneo zuri kwa hiyo bei, hapo utahitaji laki 7 kulipia ( + laki ya dalali ) which means kwenye 1M unabaki 300K!
Kufanya biashara ya chips kisasa unaanzia na mazingira; which means hiyo 300K itaishia kwenye kuandaa mazingira bora na ya kisasa!!
Kutokana na huo mchanganuo utaona ni namna gani 1M isivyotosha!
REMEMBER: Bei ya laki 1 kwa mwezi utapata eneo la kawaida sana!! Mbaya zaidi; wamiliki wa haya maeneo ya kawaida ni maskini wenzetu lakini waliojawa tamaa! Wewe mwenyewe ukishaona tu biz inaenda vizuri basi jiandae kutafuta eneo lingine kv anaweza kukuchomolea kuongeza mkataba!! Anaona unapata kwahiyo anaingia tamaa wewe uondoke afanye yeye/wao wenyewe!
[HASHTAG]#241[/HASHTAG] Jul 27, 2017 Maserati
JF-Expert Member
[HASHTAG]#242[/HASHTAG] Jul 28, 2017 jombi95
JF-Expert Member
[HASHTAG]#243[/HASHTAG] Jul 28, 2017 ihagaa
JF-Expert Member I
ndo naingia wa3 UDSM-DUCE
Sent using Jamii Forums mobile app
[HASHTAG]#244[/HASHTAG] Jul 28, 2017 Daviie
JF-Expert Member
[HASHTAG]#245[/HASHTAG] Jul 31, 2017 ukhuty
JF-Expert Member
[HASHTAG]#246[/HASHTAG] Jul 31, 2017 kingsaula
Senior Member K
sema DUCE tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
[HASHTAG]#247[/HASHTAG] Aug 2, 2017 kingsaula
Senior Member K
New
Mkuu kwanza nikupongeze kwa harakatii unazozifanya mana huwa naziona thread zako nyingii ukiomba ushauri wa biashara....vilee na ilee saloon ipoooo bado...???
Sent using Jamii Forums mobile app
[HASHTAG]#248[/HASHTAG] Aug 2, 2017 heavyload
JF-Expert Member H
New
Biashara ya Chipsi ina kanuni zake mfano ijumaa,jumamosi,jumapili na jumatatu ni siku za biashara ila jumanne na jumatano ni mbaya na alhamisi ni siku ya majanga upende usipende kwahiyo kuna siku inakubidi uwe tayari Ku break even na sio kupata faida
MKUU kwanini inakuwa hivyo
mtvbase