BwanaSamaki012
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 240
- 378
Hapana samaki ali kinyesi cha kuku, kinyesi cha kuku kinatumika kurutubisha bwawa/majiKwa hiyo hapa kinyesi cha kuku hugeuka chakula cha samaki?
Then, kinyesi cha kuku kinapo decompose kina zalisha nutrients ambazo zinaongeza uzalishaji wa mimea midogo midogo na wadudu wadogo wadogo kitaalamu tunaita phytoplanktons & zooplanktons
Hizi zooplanktons na phytoplanktons ndio uliwa na samaki kama chakula