Shukrani mkuu.Mfano wewe ukipeleka gari yako bond unamlipa mmiliki wa bond kiasi fulani kwa mwezi. Gari ikikaa zaidi ya mwezi unaendelea kumlipa.
TRA wanasubiri uwalipe ushuru tu uchukue gari.
Ulikuwepo huo mtindo ila ulikuwa na mwanya wa kukwepa kodi, Tra wamekuja na sheria inayomtaka kila mtanzania anayeagiza gari nje aambatanishe na Tin namba yake kwenye documents za manunuzi.So kunaweza kuwa na gari Yard Dar. Mtanzania na Mzambia wakazinunua kwa bei moja. Mtanzania akapigwa kodi na TRA na Mzambia akaenda nayo kupigwa kodi huko kwao akalipia tu kuivusha kwenda kwao?
YeahKumbe kwa uwepo wa hizi bonded warehouse hamna haja ya mtu gari yake kuuziwa bandarini.
Kwa mfumo wa kodi wa sasa kila mtanzania anayeagiza gari ni lazima litumike hapa hapa.Niongeze swali. Ikitokea mtu ana yard. Ananunua magari Japan kwa ajili ya kuyauza nje ya nchi, huko Zambia, Malawi etc. Kabla hao wamalawi au wazambia hawajaja kununua, mwenye yard anayalipia kodi TRA?
na ile ya kupuliza mitungi na kuijaza gesi kumbe haimpi KIPATOTunajifunza vitu vipya kila siku. Nimemsikia Pastor Tony Kapola akitaja biashara zake. Vituo vya mafuta, ckearing and forwarding na bond za magari. Hii business ya bond za magari ndiyo ikoje?
View: https://youtube.com/shorts/ThetGsMbntQ?is=qB8c0yWpK7m3B-_h
Bonded warehouse. Wana kibali kutoka TRA kuhifadhi gari/mizigo ambazo hazijalipiwa ushuru kwa sababu moja au nyingine mpaka ikilipiwa ndio mteja apewe.
Mfano umeleta gari kutoka JP na huna hela ya ushuru ikikaa storage za kawaida utachajiwa hela nyingi sana ila Bonded warehouse inaweza kuwa $200-300 (last time I checked) kwa mwezi.
Mkuu sidhani kwa kiasi fulani kama inafanya kazi kwa namna hiyo. Ingekuwa ni hivyo hakuna Mtu angepeleka mtaji wake wa bilioni tano ili kupata dola 70 kwa kila gari. Tafsiri yake ni kuwa kama una magari mia kwa mwezi ukizidisha kwa dola 70 ni kama dola 7000 kwa mwezi.Bonded warehouses hazifanywi na watu wa pesa za kiujitafuta, inatakiwa uwe heavy kweli kiuchumi
Tra hadi kwakuruhusu uwe na bond ni lazima ufanye financial security deposit angalau angalau ya bilion5.
Sasa mtu anapotoa bandarini gari yake kwanza utapigwa ushuru unaotakiwa, lets say ushuru ni milion 10 , na wewe huna, ndo unaipeleka kwa bond,,, system ya tra itaangalia bond ya unakopeleka gari then automatically itadeduct kodi stahili kutoka kwa mwenye bond, sasa biashara ya mwenye bond ni kukutunzia gari lako kwa makubaliano ya kumlipa yeye kila mwezi hadi utakapopata pesa ya kulipa kodi, ni biashara ya makubaliano ila usually kwa gari ndogo ni dola 70 kwa kila mwezi. Siku ukilipa kodi yako tra, na wao wananchia ile deposit waliyokata kwa mwenye bond.
Kuna mdau kasema mwaka mmoja.Inachukua muda gani kukaa bonded, kabla haijaipigwa mnada?
Wanaita frontna ile ya kupuliza mitungi na kuijaza gesi kumbe haimpi KIPATO