Biashara ya bolt jijini Dar es Salaam

Biashara ya bolt jijini Dar es Salaam

vanus

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2017
Posts
1,167
Reaction score
2,965
Habari zenu wakuu.

Nina gari aina ya Toyota i.s.t nataka niifanyie biashara ya bolt hapa mjini kama kazi ya ziada.

Swali langu ni kwamba, naweza kufanya biashara ya bolt kwa kutumia gari yenye plate number ya njano? Kama nilivyosema ni kazi ya ziada tu nikiwa free.

Kama itawezekana kuendesha hii biashara nikiwa na gari yenye plate number ya njano, hivyo naombeni msaada wa utaratibu wa kuweza kujisajili ili nianze rasmi kupokea requests za abiria.
 
Kwa nini usiende ofisi za Bolt kupata t&c za kazi?
Bolt wanahitaji kwanza uwe na psv, hapo lazima gari iwe plate number nyeupe na ina vipengele flani hivi,
 
Back
Top Bottom