Mimi kuna siku nilizunguka kariakoo karibu masaa matano natafuta njia ya kutokea ili nije nipande gari nirudi mbagala.. wakati naenda nilikuwa na mwenzangu ambaye tuliachana katikati pale mitaa ya azam icecream sijui pale..maana kila mtu alifata mahitaji yake...
Sasa mimi baada ya kupata...
Kufuatia tukio liliofanywa na member wa umasaini la kifo cha aliyekuwa mkurugenzi wa kiwanda cha kuchakata unga wa makopo ya plastiki, baadhi ya watu wanapata hofu wanapomuona mtu akiwa kwenye vazi la shuka, hususan kobeto likiwa linaning'inia pembezoni mwa kiuno
Twende kwenye tukio halisi...
Wakati mtoto wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 10, Ayubu Shaaban, alipopanda jukwaani katika Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, watu wachache tu katika ukumbi uliojaa watu ndio walitarajia mvulana huyo mpole angevutia hadhira kwa lugha fasaha ya Kichina.
Akiwa amevalia...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amesema Mradi wa Uendelezaji wa Bonde la Mto Msimbazi utaleta mabadiliko ya kweli kwa kubadilisha eneo la bonde la msimbazi ambalo ni hatarishi kwa sasa na kuwa sehemu muhimu kwa...
Leo tarehe 12 Machi 2026, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), sanjali na wadau wengine wa masuala ya haki za binadamu wamekutana na mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Parfait Onanga Anyanga katika ofisi za Umoja wa Mataifa zilizopo jijini Dar es Salaam.
Ndugu Parfait...
Kwako Gerson Msigwa na Serikali kwa ujumla
UTANGULIZI
Foleni jijini Dar es Salaam imekuwa kikwazo kikubwa cha uchumi, muda wa uzalishaji, afya ya wananchi na taswira ya taifa. Kitovu cha msongamano mkubwa kinaanzia Morogoro Road na Mandela Road kupitia Tabata hadi Mbezi, na hii inahitaji...
Habari zenu wakuu.
Nina gari aina ya Toyota i.s.t nataka niifanyie biashara ya bolt hapa mjini kama kazi ya ziada.
Swali langu ni kwamba, naweza kufanya biashara ya bolt kwa kutumia gari yenye plate number ya njano? Kama nilivyosema ni kazi ya ziada tu nikiwa free.
Kama itawezekana kuendesha...
✅ 1. Uboreshaji wa Miundombinu ya Maji
Mabomba mengi ni ya zamani na yanavuja, hali inayosababisha upotevu mkubwa wa maji. Serikali na DAWASA wanapaswa kukarabati miundombinu hiyo na kupanua mtandao wa maji hadi maeneo ya pembezoni kama Chanika, Mbagala, Bunju, n.k. Pia, ujenzi wa matanki ya...
Kama unaelekea Kigamboni au Posta Mkoani Dar es Salaam, Polisi waliovaa Kiraia na wengine Sare wanadai Vitambulisho. Wannapick rondomly. Wanasema kuna watu kutoka Nchi jirani wenye nia ovu kwamba wanaharibu taswira ya Tanzania.
Eti kufahamiana sio vibaya wanasema.
Wao hawaoni kama wanasumbua...
Nani Wanufaika Wakuu wa Foleni Jijini Dar es Salaam na Maeneo mengine Nchini? Na nani waathirika wakuu wafoleni hizi?
Nini kifanyike kuwanusuru waathirika wakuu wa foleni hizi?
Uzi tayari.
Karibuni kwa majibu.
Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania , Philip Besiimire ( Mwenye tisheti nyeupe), pamoja na Mkurugenzi wa Udhibiti wa Hatari na Utii wa Sheria Agapinus Tax (wa kwanza kushoto) wakipewa maelekezo kuhusu televisheni janja (smart screen) inayotoa maelekezo kuhusu bidhaa mbalimbali zinazopatikana katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.