Biashara ya Barber Shop | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya Barber Shop

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Raimundo, Oct 28, 2011.

 1. Raimundo

  Raimundo JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 13,552
  Likes Received: 10,940
  Trophy Points: 280
  Baada ya kuona hali ya kimaisha inazidi kuwa ngumu nimeamua rasmi nijikite katika ujasiriamali, na biashara ya kwanza ninayoifikiria ni Barber Shop (Saluni za kiume za kisasa).

  Kwa memba yeyote anayeifahamu hii biashara kwa ufasaha zaidi anisaidie mchanganuo, pia kama kuna mtu amesikia saluni inauzwa ani-pm tafadhari.

  Shida huleta maarifa.
   
 2. Njaa

  Njaa JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2011
  Joined: Dec 6, 2009
  Messages: 970
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 60
  Mimi pia nina wazo hilo, please wadau....
   
Loading...