King Loto
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 1,757
- 1,543
๐ ๐ ๐ ๐Kisarawe two skuiz Kuna kiwanda kinafunga mabalo ya ronya wanazovaa wahindi wa upanga ๐ ๐
๐ ๐ ๐ ๐Kisarawe two skuiz Kuna kiwanda kinafunga mabalo ya ronya wanazovaa wahindi wa upanga ๐ ๐
Kweli lakini? Kama ni kweli tumekwishaKisarawe two skuiz Kuna kiwanda kinafunga mabalo ya ronya wanazovaa wahindi wa upanga ๐ ๐
TrueKweli lakini? Kama ni kweli tumekwisha
๐au ni yale manguo wanayochezeaga karate mkuu!N
guo zngn zinazotoka unajiuliza hizi alikuwa anavaa nani?
H๐au ni yale manguo wanayochezeaga karate mkuu!
๐๐๐๐ Usiombe uyakutee manguo hayo balaa๐au ni yale manguo wanayochezeaga karate mkuu!
Naomba connection.ya hilp godown, nataka kununulia watoto wa ndugu hulo kijijini baro gauni grade 1Hapa nmekuelewa Kuna godown moja wanauza original short namba moja lak 5 sasa namba moja iyo ukifungua nguo nzuri inatoka moja inatoka tena moja hadi unajiuliza hawa wanafunga vp nguo
Mitumba kachukue nairobi unapata vitu og utauza bei unayotakaWachina wameua kbs biashara ya mitumba Tanzania
Wanafunga mitumba michafu sana na serikali haina hata haja ya kufuatilia ni bidhaa gan zinazoingia nchini kwetu leo mitumba imekuwa kazi ya kuua mitaji sbb ya balo zinazoletwa nchini mwetu
Nmejaribu kampuni kadhaa za wachina lakini patumu stress juu ya stress
Kama kuna anaejua kampuni inayofunga vizuri tupeane maujanja