Biashara ya antivirus ina process gani?

Biashara ya antivirus ina process gani?

alikhalef

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2012
Posts
717
Reaction score
75
Nadhani hili linapaswa kuwa hapa katika technology

Naomba kujua wale ambao wanauza cd a antivirus pamoja na serial zake wanafanyaje?

na mm nataka kuanzisha hii biashara kama inalipa.

natangulia shukrani wakuu
 
IPO kampuni pale kkoo inashughulika na antivirus softwares.
 
Back
Top Bottom