Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 5,049
- 9,666
- Thread starter
- #21
Hapa nazungumzia zile biashara kubwa kubwa
Hapa nazungumzia biashara zile za kuacha alamaHata pub zinachanganya , mara dada wa kaunta anapita na kibunda unarudi sifuri , biashara ni kuchanganyikiwa tu