Hayo yanachangia asilimia 23 tu kwenye biashara. Kikubwa ingia kwenye orodha ya vilinge hapo juu uchague chimbo la kuiamsha mizimu mambo yako yaende. Go....Biashara inahitaji mambo haya;
1. Huduma Bora(bidhaa nzuri)
2. Customer Care ya Hali ya juu. Lugha nzuri
3. Usafi
4. Uaminifu.
5. Consistency hasa ya Wakati.
6. Unafuu (affordability)
Hakika hapa ndo penyewe sasaBiashara inahitaji mambo haya;
1. Huduma Bora(bidhaa nzuri)
2. Customer Care ya Hali ya juu. Lugha nzuri
3. Usafi
4. Uaminifu.
5. Consistency hasa ya Wakati.
6. Unafuu (affordability)
Uganga/uchawi ni huu hapa tu, biashara nyingi watu hawazingatii mambo haya.Biashara inahitaji mambo haya;
1. Huduma Bora(bidhaa nzuri)
2. Customer Care ya Hali ya juu. Lugha nzuri
3. Usafi
4. Uaminifu.
5. Consistency hasa ya Wakati.
6. Unafuu (affordability)