Habarini mliotoka kibiashara. Na salute kwenu
Kifupi, mwezi 10, 2022 nilipata ajali mbaya ya gari nikiwa naenda kusimamia mitihani darasa la 7 niliumia vibaya ndani ya kichwa.. maisha yalibadilika ghafla... nikawa siwezi hata kwenda kazni. (mwalmu private school). ni kulala toka mwez 10 2022 mpaka mwez 4 2023
Nikaamua kutumia akiba yangu ndogo kufungua biashara ya MGAHAWA na wife akawa anahudumu pale... palifana toka ule mwezi wa 4 mpaka 7 because it was the only.. kuja 8 mwingine akafungua mgahawa jirani nami. Toka hapo hakuna mteja anayekatisha pale kwangu.. HATA MMOJA...
Waungwana kuna siri gani kwenye haya mambo? Maana sasa nakosa mpaka hela ya checkup ya majeraha yangu..