Biashara nzuri ya kufanya Kaskazini

Pale Moshi Biashara Ya Mbege Huwa Inalipa Sana, Na Uuzaji Wa Nyama Ya Nguruwe Hua Zinalipa Sana, Kwingineko Sijui.
 
tafuta machine ya kujaza na kufunga chupa (bottling filling machine) uanze kusindika na kupack banana wine ..... inalipa
 
=>BIASHARA YA UFUGAJI MKUBWA HASA YULE MNYAMA ALOHARAMISHWA

=> FUSO LA MCHANGA USIMAMIE KWA UKARIBU ukishindwa dereva ananunua lake au kujenga kupitia kwako
=> usambazaji wa bidhaa za madukani kwa gari/pikpik (baiskel ila milimani ni shida)
=>USAMBARAJI WA VYAKULA mfano maharagwe,mahindi, kande, mchele, mafuta nk MASHULENI, HOTELINI, nk
=> ila KILIMANJARO NI NGUMU KIBIASHARA MAANA WALOSHIKILIA NDO WAle WAle MARENGA INVERSTMENT kiborlon, ARAWA, MARIWA, NDESA, MR PRICE ni ngumu sana to compete with them
 
Back
Top Bottom