kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,849
- 3,066
Hapa sawa bei saw na dar au juuKuna biashara nyingine saiz zipo mikoani ata kwa jumla watu hawafuati dar, mf. Mzuri mwanza! Yani sio kama zamani.. baadhi ya biashara tu ndio watu wataagiza lkn nyingi watu wanafanya bila kutegemea dar
Ndio vipo! Hebu toka kidogo dar uchangamshe akili! Sasa watu wa huku wasipochangamka wataishi vipi? Maana wafanyabbiashara ni wengi kuliko waajirirwa!😛😛😛 ndiyo kama minadani vijijini Dar viatu maduka mtaa mzima mnavyo
Utakula mtaji Mkuu au unataka kukopesha kama waha au uvamie maeneo restricted kama karume umwage chiniSame! Hakuna nachofanya hapa kuishi ni lazima ila cha moto!
Bei nyingi ziko sawa inategemea na biashara kipenzi! Mfano biashara ya nafaka, bidhaa za kucha, pochi na viatu, mafuta ya ngozi na viunga vyake😛 Sasa mfano nikutolee kwenye kiatu, kiatu dar kinauzwa jumla elfu30, mkoani jumla elfu 35, au lets say vya bei ya chini kinauzwa elfu 5, unakuta mkoani 5,500 au 6000 utaacha kununua huku unaagize dar? Na hata kama ni vya biashara kama una mtaji mdogo wa kununua pair 10 au 20 ukaanze biashara huwezi kuagiza Dar nakwambia! Especially kitu umekiona kwenye simu au mitandaoni kikifika unashtuka mwili na roho😅Hapa sawa bei saw na dar au juu
Huku kuna mvua utavimwaga wapi vioze?Utakula mtaji Mkuu au unataka kukopesha kama waha au uvamie maeneo restricted kama karume umwage chini
Hatari nipo dodoma nilienda minadani I see watu wanapambana ila pagumu watu wanapenda bidhaa kitongaNdio vipo! Hebu toka kidogo dar uchangamshe akili! Sasa watu wa huku wasipochangamka wataishi vipi? Maana wafanyabbiashara ni wengi kuliko waajirirwa!
Kumbe dar mvua zimeanza me nipo dodoma wiki ya piliHuku kuna mvua utavimwaga wapi vioze?
Basi mi nilisikia dodoma ndio kuna ela vitu viko juu! Acha sie tulozoea maisha ya chini tukomae na jiji letu😃Hatari nipo dodoma nilienda minadani I see watu wanapambana ila pagumu watu wanapenda bidhaa kitonga
😛😛😛Basi mi nilisikia dodoma ndio kuna ela vitu viko juu! Acha sie tulozoea maisha ya chini tukomae na jiji letu😃
ImewahiMwanza
Huku kawaida siunajua vijijini😁Imewahi
Sawa ila biashara kutegemea fremu sio poa inabidi Utafute wateja mpka nje ya mkoaHuku kawaida siunajua vijijini😁
Biashara ipi ambayo utazunguka nayo kila mkoa? Vipodozi, nafaka au mtumba? Je salon?Sawa ila biashara kutegemea fremu sio poa inabidi Utafute wateja mpka nje ya mkoa
Inategemea kweli kama sisi wauza viatu Tunaenda navyoBiashara ipi ambayo utazunguka nayo kila mkoa? Vipodozi, nafaka au mtumba? Je salon?
Viatu hapo sawa!Inategemea kweli kama sisi wauza viatu Tunaenda navyo
Kwani biashara nyingine zinategemea nini😊Biashara inayotegemea wapita njia lazima ikunyooshe, unless unauza mahitaji muhimu ya binadamu.
Anapunguza stress kidogo.Unakunywa bia za nini sasa? Kama mambo ni magumu
Hilo ni kosa kubwa ulifanya biashara huwa ina kipindi cha kusubiria hadi kuja kuwa imara.Hasa kama mtu unasimamia biashara Mwenyewe dukani hela ya kula na matumizi binafsi utatoa Wapi me hela imenikata vibaya nina mwaka faida ndogo ns nategemea Duks tu
Hapana usimuonee aibu mtu maana hiyo biashara ndio roho yako wachane laivu kwamba biashara ni changa unahudumia kwa cash tu.Hii namba 4 sasa ndugu na majirani kutegemea kukopwa no kuchelewa kulipwa,