Pole sana. Kwenye fedha yako ya mauzo weka mkaa na vitunguu swaumu vilivyomenywaMimi ni mfanya biashara mgeni kweny nafaka sasa na leo ni siku ya pili kweny hii biashara yangu.
Kasumba niliyokutana nayo wadau. Ni kwamba kuna mteja alikuja kununua mchele kilo 170 na unga ndogo tatu thamani ya shilling laki tatu na 87. Ile hela kanipa nimehsabu kwa macho yangu imetimia nikaweka mfukoni. Nikampakilia mzgo wake. Huyo mteja anatokea chamanzi kwa maelezo yake. Basi kashaondoka nahesabu tena ile hela nakuta ni laki moja na elfu kumi yanii laki mbilii na 77 haipo....
Dah wenye uzoefu wanifafanulia jamaa katumia njia ipi kuniibia hela nying kias kile na mim mwenyew hata sikushtuka hivi huwa wanatumia dawa hawa matapelii msaada plz... kama ishawi kukuta elzea experience yako hapi
Ukikua utajua kilichomtokea jamaa... Ngoja ukue...!!!Pesa hairogeki mkuu acha mawazo ya enzi za giza, then punguza wenge kwenye biashara na uongeze umakini inapo hesabu noti...
Mungu anasaidiwa na uchawi? Anyways, hakuna kitu kama chuma ulete, hii ni imani ya kijinga kabisa. Sana sana ni matapeli tu wanakuchota na maneno tu.Huyo alitumia chuma ulete Sasa Ili kuepuka Hilo tatizo lisijirudie Tena fanya yafuatayo:
✓Mtangulize mungu Kila unapofungua biashara yako pamoja na kufunga.
✓Sehemu ambayo unaweka pesa Aidha ya mauzo au akiba yako hakikisha umeweka punje za kitunguu swaum kilichomenywa kuanzia mbili na kuendelea.
✓weka mkaa pia kwenye pesa za mauzo au akiba
✓weka ndulele wengine huita mtula tula kwenye hizo pesa zako za mauzo.
NB:
Itapebdeza sana kama ukipata vitu vyote hivyo tajwa hapo juu na ukavichanganya kwa pamoja.
Unajua maana ya uchawi?? Kuna uchawi gani hapoo???Mungu anasaidiwa na uchawi? Anyways, hakuna kitu kama chuma ulete, hii ni imani ya kijinga kabisa. Sana sana ni matapeli tu wanakuchota na maneno tu.
Hoja ya msingi ipo hapo kwenye bold,labda kama ”mungu” lakini kama ni ”Mungu" hivyo vingine ulivyoorodhesha hapo havihitajiki.Huyo alitumia chuma ulete Sasa Ili kuepuka Hilo tatizo lisijirudie Tena fanya yafuatayo:
✓Mtangulize mungu Kila unapofungua biashara yako pamoja na kufunga.
✓Sehemu ambayo unaweka pesa Aidha ya mauzo au akiba yako hakikisha umeweka punje za kitunguu swaum kilichomenywa kuanzia mbili na kuendelea.
✓weka mkaa pia kwenye pesa za mauzo au akiba
✓weka ndulele wengine huita mtula tula kwenye hizo pesa zako za mauzo.
NB:
Itapebdeza sana kama ukipata vitu vyote hivyo tajwa hapo juu na ukavichanganya kwa pamoja.
Mimi ni mfanya biashara mgeni kweny nafaka sasa na leo ni siku ya pili kweny hii biashara yangu.
Kasumba niliyokutana nayo wadau. Ni kwamba kuna mteja alikuja kununua mchele kilo 170 na unga ndogo tatu thamani ya shilling laki tatu na 87. Ile hela kanipa nimehsabu kwa macho yangu imetimia nikaweka mfukoni. Nikampakilia mzgo wake. Huyo mteja anatokea chamanzi kwa maelezo yake. Basi kashaondoka nahesabu tena ile hela nakuta ni laki moja na elfu kumi yanii laki mbilii na 77 haipo....
Dah wenye uzoefu wanifafanulia jamaa katumia njia ipi kuniibia hela nying kias kile na mim mwenyew hata sikushtuka hivi huwa wanatumia dawa hawa matapelii msaada plz... kama ishawi kukuta elzea experience yako hapi
Inaonekana bado unaishi kwa shemeji au umeandika kiutaniPesa hairogeki mkuu acha mawazo ya enzi za giza, then punguza wenge kwenye biashara na uongeze umakini inapo hesabu noti...