Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,008
- 17,480
Soma comments za wakurungwa wa bongo kuhusu andiko la mtanzania marekaniNimecheka Hadi chozi limenitoka na watanzania awapendi kuambiwa ukweli wao wanataka kuambiwa ki motivation kuwa ughaibuni Kuna mamilioni 😭😭 matokeo yake mtu anaenda kichwa kichwa bila taarifa sahihi mambo yakiwa tofauti wanaanza kujuta huku wakiwa wamepoteza sana muda...! Mimi nimeamua kuwa muwadhi kwani taarifa kama hizi siku zipata kabla sijaondoka.
Mafanikio ni gharama ndugu yangu Asante kwa elimu nzuri kwa vijana wetuNi kweli kabisa ila nimejaribu tu kuwapa angalizo ila wote tunajua kuwa huwezi kufanikiwa bila kutake Risk....!
Mie nakujaa kwa Basha wangu huko, ana visima vya mafuta, sasa hizo shida na mateso hazitanikutaa kabisaa.Karibu sana...Mimi nawarahisishia kazi hii ni taarifa ndogo sana ila isome kwa umakini Kisha ukija huku utanikumbuka...!
Walioko ughaibuni na kuajiriwa halafu wanatuma pesa za maendeleo Tanzania kwa ndugu zao, kwani wao wanawezaje?
Aaaah! Uzi umeishaharibika!Mie nakujaa kwa Basha wangu huko, ana visima vya mafuta, sasa hizo shida na mateso hazitanikutaa kabisaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
He's the most lucky man on earth 😋😋😊Zawadi ya Kinyeo inakusubiri uje unipumulie chogo langu. 😁
Ebu twende dubai tukajaribu maishaLipia tangazo
Ume uharibu wee? MxxieeeeewAaaah! Uzi umeishaharibika!
Mafanikio ni gharama ndugu yangu Asante kwa elimu nzuri kwa vijana wetu
😂😁😁😁 Huyo sijui ana matatizo Gani kashachefua Uzi astaghafirullah 😁🤣 Cc NumbisaAaaah! Uzi umeishaharibika!
Karibu sana ila kabla hujaja naomba unisome na kunielewaEbu twende dubai tukajaribu maisha
Exactly 💯 brother Dunia haiko fair si unaona Kuna mwanaume anajifanya mwanamke hapa kwenye UziKweli kabisa...haki vile hakuna kazi rahisi na njia ya mafanikio kwakweli ni ngumu mno...!
Ngoja nipitie siku wahi kuuona huo uziSoma comments za wakurungwa wa bongo kuhusu andiko la mtanzania marekani
Exactly 💯 brother Dunia haiko fair si unaona Kuna mwanaume anajifanya mwanamke hapa kwenye Uzi
Kwani nimekukwaza tajili...?Basi ungekuja direct na lengo lako sio kuzunguka zunguka
Ni watu wa hovyo sana kaka Hawa hawafai Kabisa ni laana KabisaWewe acha tu...rafiki yangu huku Duniani Hali ni mbaya sana Kuna watu wame left group na Hadi muonekano imekuwa tofauti na jinsi zao halisi...!
Walioko ughaibuni na kuajiriwa halafu wanatuma pesa za maendeleo Tanzania kwa ndugu zao, kwani wao wanawezaje?
Awalijui Hilo wanacho jua wao ni kuponda Raha🤣🤣🤣Ni watu wa hovyo sana kaka Hawa hawafai Kabisa ni laana Kabisa