Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,009
- 17,475
Soma comments za wakurungwa wa bongo kuhusu andiko la mtanzania marekaniNimecheka Hadi chozi limenitoka na watanzania awapendi kuambiwa ukweli wao wanataka kuambiwa ki motivation kuwa ughaibuni Kuna mamilioni šš matokeo yake mtu anaenda kichwa kichwa bila taarifa sahihi mambo yakiwa tofauti wanaanza kujuta huku wakiwa wamepoteza sana muda...! Mimi nimeamua kuwa muwadhi kwani taarifa kama hizi siku zipata kabla sijaondoka.