Biashara mpya Tanganyika: Majeneza used

Idea nzuri, labda nisichoelewa, ni kipindi gani katika mazishi ambacho hayo hufanyika?

Je hilo jeneza la kukodi huingizwa hadi kaburini ndipo lile jeneza la kuzikia huondolewamo kubakia kaburini kuzikwa?
 
La kukodi linabeba la kuzikia mpaka pale kaburini.. Wakati wa mazishi lile linaondolewa linabaki linaloenda na mwili..

Ni idea nzuri kwakweli
 
Kwahiyo ni kitu waombolezaji wanaona na mazishi yanaendelea kama kawaida? Yaani watu wamezoea kuona hivyo ni kawaida tu?
Mwanzoni litakuwa jambo geni lakini likizoeleka litaonekana la kawaida kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…