Biashara magendo ya fedha za kigeni inashamiri kwa kasi !

Mwingereza

JF-Expert Member
Jan 21, 2014
1,110
2,736
Naona Serikali ilifanya kazi nzuri kuyavamia maduka ya fedha za kigeni. Kwa sasa DOLA ya Marekani, Euro pamoja na Pound ya Uingereza inapatikana kwa njia ya magendo tena kwa bei nzuri zaidi ya ile ya madukani (FOREX Black Market). Fedha nyingi sana zinatembea mtaani ambayo inaikosesha serikali mapato makubwa sana.

Jumamosi, nikiwa eneo Fulani maarufu hapa Arusha, jamaa mmoja aliuza kiasi cha $125,000 ndani ya gari. Mimi nilikwa nahitaji $1,300 kwa ajili ya safari yangu Zambia, Mlangoni mwa Bureau De Change, jamaa kanivuta mkono na kuninong’onezea kwamba, hapo utasumbuka.

Piga hii namba, alinipa namba na baada ya kuipiga, haikuchukua muda, kama dakika 6 nilifika sehemu fani na kupata fedha za kigeni kwa bei nafuu.

Bila kunificha, hii biashara ni nzuri mtaani kuliko kwenye maduka. Watu wengi wanauza fedha hizi kimagendo kwa maana wanaona ni usumbufu kwenda kwenye bureau de change.

Naona Serikali imeamua kujikosesha fedha makusudi
 
Unafurahia biashara ya magendo kushamiri kwenye taifa lako?
Umeshiriki magendo halafu unafurahia kabisa?
Watu kama wewe mnasitahili mjeledi kabisa ili mpate akili na uzalendo, na kama ingelikuwa ancient Bhaharat au China wewe ni wakunyongwa kabisa.
Uzalendo 0%
 
Inaitwa cause and effect ukizuia hili linaibuka hili,unajua huwezi dhibiti watu,huwezi dhibiti technology, zaidi utawapa ulaji wasimamizi wa Sheria.
Unafurahia biashara ya magendo kushamiri kwenye taifa lako?
Umeshiriki magendo halafu unafurahia kabisa?
Watu kama wewe mnasitahili mjeledi kabisa ili mpate akili na uzalendo, na kama ingelikuwa ancient Bhaharat au China wewe ni wakunyongwa kabisa.
Uzalendo 0%
 
Naona Serikali ilifanya kazi nzuri kuyavamia maduka ya fedha za kigeni. Kwa sasa DOLA ya Marekani, Euro pamoja na Pound ya Uingereza inapatikana kwa njia ya magendo tena kwa bei nzuri zaidi ya ile ya madukani (FOREX Black Market). Fedha nyingi sana zinatembea mtaani ambayo inaikosesha serikali mapato makubwa sana.

Jumamosi, nikiwa eneo Fulani maarufu hapa Arusha, jamaa mmoja aliuza kiasi cha $125,000 ndani ya gari. Mimi nilikwa nahitaji $1,300 kwa ajili ya safari yangu Zambia, Mlangoni mwa Bureau De Change, jamaa kanivuta mkono na kuninong’onezea kwamba, hapo utasumbuka. Piga hii namba, alinipa namba na baada ya kuipiga, haikuchukua muda, kama dakika 6 nilifika sehemu fani na kupata fedha za kigeni kwa bei nafuu. Bila kunificha, hii biashara ni nzuri mtaani kuliko kwenye maduka. Watu wengi wanauza fedha hizi kimagendo kwa maana wanaona ni usumbufu kwenda kwenye bureau de change.

Naona Serikali imeamua kujikosesha fedha makusudi
Kesho tunaomba uka-report kituo cha polisi kilicho karibu na wewe ili kulisaidia jeshi la polisi.
 
Unafurahia biashara ya magendo kushamiri kwenye taifa lako?
Umeshiriki magendo halafu unafurahia kabisa?
Watu kama wewe mnasitahili mjeledi kabisa ili mpate akili na uzalendo, na kama ingelikuwa ancient Bhaharat au China wewe ni wakunyongwa kabisa.
Uzalendo 0%
Yani ujilime risasi halafu usingizie wengine.
 
Naona Serikali ilifanya kazi nzuri kuyavamia maduka ya fedha za kigeni. Kwa sasa DOLA ya Marekani, Euro pamoja na Pound ya Uingereza inapatikana kwa njia ya magendo tena kwa bei nzuri zaidi ya ile ya madukani (FOREX Black Market). Fedha nyingi sana zinatembea mtaani ambayo inaikosesha serikali mapato makubwa sana.

Jumamosi, nikiwa eneo Fulani maarufu hapa Arusha, jamaa mmoja aliuza kiasi cha $125,000 ndani ya gari. Mimi nilikwa nahitaji $1,300 kwa ajili ya safari yangu Zambia, Mlangoni mwa Bureau De Change, jamaa kanivuta mkono na kuninong’onezea kwamba, hapo utasumbuka. Piga hii namba, alinipa namba na baada ya kuipiga, haikuchukua muda, kama dakika 6 nilifika sehemu fani na kupata fedha za kigeni kwa bei nafuu. Bila kunificha, hii biashara ni nzuri mtaani kuliko kwenye maduka. Watu wengi wanauza fedha hizi kimagendo kwa maana wanaona ni usumbufu kwenda kwenye bureau de change.

Naona Serikali imeamua kujikosesha fedha makusudi
Ngoja ukishikwa na hizo dollars halafu hauna risiti ya manunuzi yake. Ndiyo utaelewa uzuri wake.
 
Naona Serikali ilifanya kazi nzuri kuyavamia maduka ya fedha za kigeni. Kwa sasa DOLA ya Marekani, Euro pamoja na Pound ya Uingereza inapatikana kwa njia ya magendo tena kwa bei nzuri zaidi ya ile ya madukani (FOREX Black Market). Fedha nyingi sana zinatembea mtaani ambayo inaikosesha serikali mapato makubwa sana.

Jumamosi, nikiwa eneo Fulani maarufu hapa Arusha, jamaa mmoja aliuza kiasi cha $125,000 ndani ya gari. Mimi nilikwa nahitaji $1,300 kwa ajili ya safari yangu Zambia, Mlangoni mwa Bureau De Change, jamaa kanivuta mkono na kuninong’onezea kwamba, hapo utasumbuka. Piga hii namba, alinipa namba na baada ya kuipiga, haikuchukua muda, kama dakika 6 nilifika sehemu fani na kupata fedha za kigeni kwa bei nafuu. Bila kunificha, hii biashara ni nzuri mtaani kuliko kwenye maduka. Watu wengi wanauza fedha hizi kimagendo kwa maana wanaona ni usumbufu kwenda kwenye bureau de change.

Naona Serikali imeamua kujikosesha fedha makusudi
endelea kwenda uchochoroni ....watu wanazitaji hizo dola buku zako sijui utamlilia nani
 
Kwa hiyo umewataarifu doria wawe macho kwenye milango ya maduka hayo ili wawakamate hao wauzaji?? Kweli wachoma nguru hamuishi kamwe.
Huyo jamaa alikukosea nini?? Kwa nini utaje njia zetu za kupatia mirungi??
 
Unafurahia biashara ya magendo kushamiri kwenye taifa lako?
Umeshiriki magendo halafu unafurahia kabisa?
Watu kama wewe mnasitahili mjeledi kabisa ili mpate akili na uzalendo, na kama ingelikuwa ancient Bhaharat au China wewe ni wakunyongwa kabisa.
Uzalendo 0%

Baki na definition yenu ya kipumbavu ya uzalendo mliojitungia hapo lumumba. Niliandika hapa same day mlipowafungia wenye Bureau de Change kuwa jiwe amezindua black market ya foreign currency. Hakuna serikali dunia hii iliyowahi kushinda black market.
USA walipiga marufuku pombe enzi fulani kina Godfather wakatajirika hadi wakanunua majaji na entire police. Na USA walikuwa na resources kipindi hicho zaidi ya mara 1000 ya alizo nazo jiwe.
 
Black market alishindwa nyerere kuidhibiti enzi za giza sijui zama hizi za dotcom kama wataweza,
Baki na definition yenu ya kipumbavu ya uzalendo mliojitungia hapo lumumba. Niliandika hapa same day mlipowafungia wenye Bureau de Change kuwa jiwe amezindua black market ya foreign currency. Hakuna serikali dunia hii iliyowahi kushinda black market.
USA walipiga marufuku pombe enzi fulani kina Godfather wakatajirika hadi wakanunua majaji na entire police.
 
Back
Top Bottom