Limbalangule
Senior Member
- Jun 14, 2023
- 136
- 270
Ukweli mtupu.Unatakiwa ufahamu hii kanuni : "Hakuna hela/fedha rahisi", ukilijua hili hutapata tabu hapa duniani!
Ili upate hela/fedha unahitaji kutoa sadaka.Hapa namaanisha sadaka ya muda, jitihada, nguvu, maarifa, jasho,damu, machozi, mtaji, akili, nidhamu, uthubutu, ujasiri n.k!
Hapa Watanzania wengi hatukuandaliwa katika misingi hiyo! Misingi ni ile nenda shule faulu halafu maisha mazuri! Halafu elimu yenyewe unakaririshwa!
No Easy Money: You never win playing by the rules (Dale Hunter)
Sent using Jamii Forums mobile app