Biashara gani naweza kufungua sehemu wanayokaa matajiri?

xaidjr

JF-Expert Member
May 29, 2016
392
468
Wakuu natumai wazima,

Naomba nilete hili mezani naombeni mnishauri sister amenipa mkakati wa kufikiria (business idea) itakayoweza kufanyika maeneo ya wanayoishi high classy people or matajiri amesema atanifund kila kitu.

Naombeni mawazo yenu juu ya hili.
 
Wakuu natumai wazima.
Naomba nilete hili mezan naomben mnishauri sister amenipa mkakati was kufikiria (business idea) itakayoweza kufanyika maeneo ya wanayoishi high classy people or matajir amesema atanifund kila kitu. naomben mawazo yenu juu ya hili
Wafanyakazi wa ndani: wanyenyekevu, waweze uyaya, lugha mbili eng na swa, wasafi na wanaojituma
 
Kufundisha hospitality na kingereza kwa wahudumu wa ndani na kuwafundisha Huduma Nora. Ikiambayana na ku recruit wafanyakazi. Kutengeneza gardens
 
nenda kafungue biashara ya sandwich kama nimekosea hilo neno mnirekebishe walaji
 
Uza gold,diamond,rubi na madin mengine ya thaman UNATAKIWA KUWA NA MTAJI WA BILION SIO CHINI YA 5
good luck!!!
 
Back
Top Bottom