Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,993
- 11,859
Kuna sehemu yoyote umeona nahitaji msaada kwenye huu uzi?Uliza yanakosudiwa kwenye uzi nitakujibu kwa ninavyojua.
Kuna sehemu yoyote umeona nahitaji msaada kwenye huu uzi?Uliza yanakosudiwa kwenye uzi nitakujibu kwa ninavyojua.
Kuna sehemu yoyote umeona nahitaji msaada kwenye huu uzi?
Wenzako wanawaza biashara, wewe unawaza ujinga.Tutafika kweli kwa staili hii??.
Mbona nasikia kuna visiwa vinne??.Grande Comores ni Kingazija au Chikomore na Anjouan ni kinzouani na Moheli wana lugha yao , hivyo ndio visiwa vitatu vya Comoros
Mbona nasikia kuna visiwa vinne??.
Kuvuka mayotte ni inachukua muda gani na nauli ni kiasi gani kaka?Ki geographia viko vinne kama archepelogy,,, ila kile cha nne kisiasa hakiko chini ya utawala wa Comoro, kiko chini ya Wafaransa, ni kisiwa cha Mayotte.
Anataka ufanye kazi kidogo, yaani ujitume kwa kutumia akili yako kidogo kwa kuingia mtandaoni kwa ku - google ili upate taarifa hiyo na nyingine KIBAO!Kama unajibu jibu. Google maana yake nini?
Sio kila kitu Google.Anataka ufanye kazi kidogo, yaani ujitume kwa kutumia akili yako kidogo kwa kuingia mtandaoni kwa ku - google ili upate taarifa hiyo na nyingine KIBAO!
Hayo ni "shortcut answer"! Fanya kazi ili ULE!Sio kila kitu Google.
Kama unaweza kujibu jibu.
Sio lazma ufanye kazi ndo ule.Hayo ni "shortcut answer"! Fanya kazi ili ULE!
WHAT,NINI?Sio lazma ufanye kazi ndo ule.
RIZIKI ya kiumbe ipo tu.WHAT,NINI?