biashara asubuhi

biashara asubuhi

Smarty

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
776
Reaction score
436
Kuna mke wa mtu kafumaniwa guest na mumewe. kijinusuru ikabidi atoke ndani uchi, alipofika nje akakuta tax akaingia na kumuamrisha dereva " ondoa gari fasta deleva ikabidi amshangae kidogo, dem kamwambia unashangaa kitu gani kuna usichokijua hapa mbona hata mkeo yupo hivi? dereva akamjibu kuwa mi sishangai huo mwili wako, hapa najiuliza pesa yangu umeihifadhi wapi? ( umeiweka mfuko gani?)
 
huyo Taxi driver naye we peleka mtu anakotaka kwenda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom