Bia ya Eagle imekua mkombozi kwa walevi

kanuga

JF-Expert Member
Apr 13, 2014
743
1,304
Kwa wale walevi wa bia laini ukiachana na gongo,chibuku,mataputapu, na chan' gaaa , Igo imekua mkombozi wetu , mwendo wa vikombe 3 vya buku tatu upo vizuriiii,.... pesa ishakua ngumu anko magu hoyeeeee
 
Haha kitu ndege bia ya mtama ukila tatu tu hoi afu ina sukari nyng ila n mkomboz wa wengi
 
uko Dar ndio zimefika..?? uku Moshi tunazinywa kama hatuna akili nzuru Igo za buku buku
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom