Kuna tetesi MMM ni--Wakosoaji hunufaika na nini? Kwanini baadhi hutekwa na kupotezwa kama kina mdude, na kuna ambao hawaguswi? Nini kipo nyuma ya pazia, nilitegemea kuona wakosowaji wa mda mrefu kama Martin (mmm), na wengine Kutekwa. Au kuna ambao wanakosoa kistaarabu🤔
TetesiKuna tetesi MMM ni--
Triple M ni nani?Wakosoaji hunufaika na nini? Kwanini baadhi hutekwa na kupotezwa kama kina mdude, na kuna ambao hawaguswi? Nini kipo nyuma ya pazia, nilitegemea kuona wakosowaji wa mda mrefu kama Martin (mmm), na wengine Kutekwa. Au kuna ambao wanakosoa kistaarabu🤔
Kwa TISS huwa hawatekwi .Kuna tetesi MMM ni--
Martin Maranja Masese (MMM). Ushanfahamu?Triple M ni nani?
Kwanza tuanze na hili, hivi kukosoa ni kosa?Wakosoaji hunufaika na nini? Kwanini baadhi hutekwa na kupotezwa kama kina mdude, na kuna ambao hawaguswi? Nini kipo nyuma ya pazia, nilitegemea kuona wakosowaji wa mda mrefu kama Martin (mmm), na wengine Kutekwa. Au kuna ambao wanakosoa kistaarabu🤔
Nakubaliana na wewe hata DGIS wao waliwahi kumtwanga risasi wakamua.Kwa TISS huwa hawatekwi .
Polepole alifanywaje
Yule mlinzi wa Majaliwa alifanywaje
Imran kombeNakubaliana na wewe hata DGIS wao waliwahi kumtwanga risasi wakamua.
Umefika wakati ubadili Profile name kiongozi.Yana mwisho.
Walipita watawala wengi dhalimu kama Hitler na Goliath.