bi kidude mzigoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

bi kidude mzigoni

Discussion in 'Jamii Photos' started by cheusimangala, Sep 22, 2010.

 1. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  bi kidude bwana ana mbwebwe eti hata mkongojo ni yellow n green!
  cjui na yeye kapewa mshiko!
   
 2. L

  Lubaluka JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 496
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Duu CCM noma wamemvalisha huyu kikongwe kila kitu kijani label, nadhani hadi under*** ni kujani.

  Cheusimangala, embu ipeleke kule kwenye jukwaa la Siasa nadhani itachambuliwa vizuri hii image.

  Kwa sasa huyo anastahili apumzike.... huyo kapelekwa tuuu hata haelewi kitu chochote hapo !!!
   
 3. D

  Dina JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 2,824
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Namuonea huruma zaidi kuliko kumshabikia! Na raba njano na kijani, kipima joto chake nacho, duuh CCM hii, kweli itaua wazee wa watu!
   
 4. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #4
  Sep 22, 2010
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Lazima atakuwa amepewa mshiko huyu bibi ni mjanja wa mjini
   
 5. Beauty

  Beauty JF-Expert Member

  #5
  Sep 22, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 540
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  oooh jamani kizee cha watu huku kinafata nini? anatafuta mhogo wa jang'ombe au? nadhani anatakiwa apumzike au atumbuize kwenye sehemu zisizo na kashikashi za namna hii,
   
 6. minda

  minda JF-Expert Member

  #6
  Sep 22, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135  aminia
   
 7. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #7
  Sep 22, 2010
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  ila huyu si bikidude mbadilishe title
   
 8. RR

  RR JF-Expert Member

  #8
  Sep 22, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Hi kampeni ya kitumia wasanii kiboko......
   
 9. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #9
  Sep 22, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Du! Jamani bi kidude siku hizi amekuwa beautiful hivi??? pesa za mafisadi si mchezo. Wanampigisha kwata bibi kizee na baada ya uchaguzi hawana taimu naye tena.
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  Sep 22, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,381
  Likes Received: 22,251
  Trophy Points: 280
  Ana thete millioni zake KIBINDONI
   
 11. Charles Mtekateka

  Charles Mtekateka Verified User

  #11
  Sep 22, 2010
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 310
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Huyu hata maana na uhitaji wa mabadiliko ni msamiati mgumu sana!
   
 12. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #12
  Sep 22, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Beauty huyu hauwezi muhogo wa Jang'ombe bana, atajifia bure!
   
 13. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #13
  Sep 22, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  ha haaaaaaaaaa; Cheusi, kapewa na bodyguard nini? hiyo njemba hapo pembeni kama inamlinda vile!!!!!!!!!!!!!!!!
  Ila mpaka hizi kampeni ziishe tutakuwa tumejionea ya kuzidi
   
 14. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #14
  Sep 22, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Bana Cheusimangala Bi kidude havaagi viatu:becky::becky:
   
 15. b

  bwanashamba Senior Member

  #15
  Sep 22, 2010
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 193
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  du imekaa vizuri sanaaaaaaaaa iyo ongeza makamuzi bibi big up sana
   
 16. father-xmas

  father-xmas JF-Expert Member

  #16
  Sep 22, 2010
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 530
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  makamuzi gani aliyonayo ya kuongeza..........................!
  naona yeye ndo anakamuliwa hapo.............................!
   
 17. father-xmas

  father-xmas JF-Expert Member

  #17
  Sep 22, 2010
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 530
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  aah marie roza upo......................!
   
 18. s

  schulstrasse Senior Member

  #18
  Sep 22, 2010
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 107
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  amekuwa kama kinyonga flani na hizo rangi....:becky:
   
 19. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #19
  Sep 22, 2010
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Hawa ccm hawana heshima, sasa huyu ajuza wa watu wanamtesea nini? Hizo buku zao mbili mbili wanazowapa waje mkutanoni?
   
 20. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #20
  Sep 22, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Raba = ccm
  Gauni = ccm
  Kofia = ccm
  Fimbo = ccm
  Bangili = ccm
  Mfuko = ccm
  Bendera = ccm

  Hizi zote zimetengenezewa nchini Canada, kwa gharama za ikulu.

   
Loading...