Chum Chang
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 999
- 272
View attachment 70916Hapa akiwa London miaka ileeeee...
nilimskia akisema kuwa wakati alipozaliwa alikuwa kajitu kadogo sana ka ajabu nadhani alizaliwa premature. sasa watu wakawa wasema njooni muone hiki kidude basi likawa ndilo jina lake la utoto na utani hata leo.Hivi jina Kidude ni a.k.a kutokana na mambo ya sanaa au?
Hapa tutabishana mpaka lini sijui na hutaweza kunishawishi kuwa huyu ni Bi Kidude hata unihonge nini...
huyu ni mpiga msondo wake bwana ,asituzingue! au ndio mgema akisifiwa?
Hapa tutabishana mpaka lini sijui na hutaweza kunishawishi kuwa huyu ni Bi Kidude hata unihonge nini...
nilimskia akisema kuwa wakati alipozaliwa alikuwa kajitu kadogo sana ka ajabu nadhani alizaliwa premature. sasa watu wakawa wasema njooni muone hiki kidude basi likawa ndilo jina lake la utoto na utani hata leo.