Bi Kidude Enzi Zake alivyokuwa kijana na sasa jinsi alivyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bi Kidude Enzi Zake alivyokuwa kijana na sasa jinsi alivyo

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Sep 25, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Binadamu tumetoka mbali ehhhhhhhhhhhhhhhhhh. Waswahili Wanasema mithali hii(Hujafa hujaumbika)

  Bafore and After.
  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,343
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
  With old age comes wisdom,...teh teh teh! Akubali yaishe tu maana hakuna la kufanya ukifikia umri huo. Ronald Reagan pia ni shuhuda wa umri kututupa mkono.
   
 3. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  alikuwa mkali enzi zake eeh!
   
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Mkuu Ndahani Kila kitu kina mwanzo wake an mwisho wake aliye juu mngojee chini tu atashuka akitaka asitake.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,350
  Likes Received: 2,688
  Trophy Points: 280
  Hivi jina Kidude ni a.k.a kutokana na mambo ya sanaa au?
   
 6. Lateni

  Lateni JF-Expert Member

  #6
  Sep 25, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 685
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Duuh!!, ama kweli fainali Uzeeni.
   
 7. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #7
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Mkuu watu8 Jina la Bi kidude ni nick name jina lake anaitwa Bi Fatuma binti Baraka.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #8
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Root

  Root JF-Expert Member

  #9
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,309
  Likes Received: 13,019
  Trophy Points: 280
  duh kwa hiyo hata kina wema,wolper na likes watazeeka?
  au hawajui watazeeka?
   
 10. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #10
  Sep 25, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Inasemekana bibi yu mgonjwa kitandani, badala ya kumsanifu uzee wake ni vema tukamuombea apone haraka.
   
 11. Nzenzu

  Nzenzu JF-Expert Member

  #11
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mbona hakuna tofauti? Picha zote ZAFANANA!
   
 12. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #12
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Mkuu Nzenzu angalia Vizuri alivyokuwa kijana wa miaka kati ya 30 au 40 na hiyo picha ya juu na sasa mwenye miaka zaidi ya 90 zipo sawa hizo picha ?unayo macho? au umeva miwani ya mbao?

  [​IMG]
  Bi Kidude Enzi za ujana wake.


  [​IMG]
  Bi Kidude wa sasa.


  [​IMG]
  Bi Kidude Mashallah.....

  [​IMG]


  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  Sep 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  Nikikumbuka uzee silali, mie sasa hivi nikicheka yaani ndita zinajaa usoni
  Naogopa ila sina cha kufanya
   
 14. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #14
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,350
  Likes Received: 2,688
  Trophy Points: 280
  got it....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #15
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,350
  Likes Received: 2,688
  Trophy Points: 280
  uzee ni hatma ya kila mwana wa adam
   
 16. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #16
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Mkuu Lukansola mimi nimekuuliza Swali? Mchanga wa pwani huo mimi simooooooooooooo :teeth::teeth::teeth:
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #17
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Mkuu watu8 hata kuniwekea (Like) unashindwa kaka?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #18
  Sep 25, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  hata picha za wakati tuko watoto ama vijana wadogo wa miaka 18 hadi 20 hivi tulikuwa wazuri kuliko tulivyo sasa ambavyo tayari makunyanzi yameanza kujaa usoni.
   
 19. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #19
  Sep 25, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  Hebu niambie MziziMkavu, huyu bibi aliwahi kuolewa? au ana watoto? (wa kike).
   
 20. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #20
  Sep 25, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Nimesimama kwa muda na kufikiri nami nikijaliwa na Mwenyezi Mungu miaka mingi duniani nitakuja kuwa kikongwe kama bi Kidude............scary
   
Loading...