Nampenda phina,phina,phina,
Ila pesa sina
Manyakanga mko wapi leo,mje muamue,
Balaa ugomvi leo,
Nyani Ngabu kataniwa kidogo,anatoa matapishi, Mamndenyi mama yake bi harusi,
Uko wapi
Nimekuja na zawadi,nataka nimpe bi harusi wangu phina.
Porno kwenye shule ya watoto na toys za watoto kutumika in a sexual context ndio mule mule tu.
Kama hutataka kumuona mtoto wako akicheza kama vile, basi hutataka vitu anavyochezea au vinavyozunguka mazingira yake ya kila siku vihusishwe na uchezaji wa ana ile
Kuwa imekupa chuckle sio shani, kuna watu wanacheka wakiona watu wanauwawa!