Bi harusi aingizwa mkenge na big boss!!!!!!!! Mji hauna mwenyeji!!!!

Ndoa ni mipango ya mungu bwana
huyo hakuwa mume wake.
Mwanaume anaekupenda kweli si mchezo hawezi chezesha game za kipuuzi hizo

Kudadeki...,,na tushajua,,wote tutawafanyia entry-exams za dizaini hii hii,,kama shostito naye anapenda kweli kwanini tamaa mbele namna ileeee???je siku mshkaji zikikauka?si atawapanga kwa foleni vibopa??..kudadeki
 
Na wewe kama unampenda kweli, kwanini ukubali kupokea ufunguo wa Harrier na unajijua unamchumba na muda sio mrefu unatarajia kufunga ndoa? Tena mtu anaekupa ufunguo hamjafahamiana hata kwa muda mrefu, mbaya zaidi unakubali kwenda guest? Mi naona ni poa tu alivyoachwa hata angeolewa huyo asingekuwa mwaminifu kwa mumewe

Dada wee HARRIER BRAND NEW, NI GARI SIO USAFIRI!!! LOLEST!!! Ila bana vishawishi vingine vikubwa, unadhani angepewa STARLET USED FROM JAPAN angetgeka? Angekuwa anachagua nguo za harusi!!! lol!!!
 
Niajeeeee Wadau!!!!!

Hahahahaaaaaaa!!!! LOLEST!!! Leo nimecheka kweli japo ni jambo la kusikitisha! Japo sikuwa na nia ya kuileta hii stori humu, ila wadada wa mujini inabidi muijue mjihadharii!

Bwana, kuna mdada wa mujini shosti wanguu haswaa, yuko mjini kitambooo, tena mutoto wa temeke, anafanya kazi bank moja POSTA hukooo! Yupo dirishani pale basi full mauzo ya sura!

Huyo dada anamchumba (usiringie uzuri ringia bahati) anfanya kazi kwenye shikira la kiserikali japo yupo UGHAIBUNI a.k.a MAMTONI anasoma na inshaalah! anakaribia kurudi, mambo yao sio mabaya, mkaka kakolea sana juu yake, mahari ishatolewa, Mashalaaah! mwezi wa 3 mwakani Dada huyooooo anaolewaaaa! Mashosti tushapewa tenda ya kuwa MAIDS OF HONOUR ndo tunajidunduliza tuchange. Ukubwa dawa!

Sasa bi dada pamoja na kutulia baada ya KUSTAAFU kuwa homa ya jiji historia yake huko nyuma si ya KURIDHISHA.( Ndo maana rafiki yangu atii, sie warabu wa pemba!) Alijirekebisha, akasoma na kuaquire class katika jamii. Wale watu wa uswaa aliembakiza katika circle yake ni mie tu na sababu lazima ubakize back up kidogo jst incase!!!!

Wanasemaga your past always has a way to find you, no matter how far you run, (nikilifikiria hili nawewesekaga usiku!!LOLEST!!) Juzi kati kuna Bosi lilienda pale Bank kama mara 2 au 3 counter ya shosti kuomba tu balance !!!! ( TRUST ME THE ACCOUNT WAS FULLY LOADED Hahahaaaa). Bi dada akampa, mara akaombwa kutolewa lunch, na ZOMBINIZATION ikaanza. The Boss was super NICE!!! lolest!! Anamwaga tu minoti! Bi dada akaniita kikao cha dharura JEMBE lake la BACK IN THE DAYS, agenda kubwa ikiwa, ANATAKA AFANYE 1 LAST JOB YA KULICHUNA HILO BOSI achukue mafao mazito,anaomba mwongozo. Nikamwambia hilo TEGO wewe mtu akuombe balance afu akugande, kuna walakini! Mi nikamwambia wewe LIPOTEZEEE tu, itakuwa kuna umbea umepita, watu wanataka kupeperusha harusi hiyo, utakosa yote!!

Akagoma bana, akaifanya ile KAZI, akaahidiwa HARRIER MPAYAAA na akapewa KADI LA GARI KABISAA lina jina lake, brand new toka SHOWROOM za TOYOTA TANZANIA( Kadi muhimu unaweza potezwa maboya) ila kabla ya kupewa funguo ndo wakutane PARADISE pale posta baada ya kazi kulipana fadhilaaaa! Bi dada kapewa room number kaingia, kaoga kajipumzisha. Mlango ukagongwa akajua payback time, kufungua HAMADIIII !!!FIANCE!!! Kidogo afe! Fiance akamwambia NILITAKA KUDHIBITISHA KWA MACHO YANGU,SASA NIMEONA! KWAHERI!!!! Yule bosi nilimtuma mimi! Huyoooo kaishia, bi dada ndo kuniita tutafute a way out jinsi ya kuweka KIRAKA hapo mambo yakae poa!!!

Ataiweka wapi sura yake!!! Kisa cha kuachwa mji ukikijua??? LOLEST!!!! (Its not a laughing matter) Jamani embu toeni ushauri wa kujenga, makosa yake kesha yajua ila ndo katika kuokoa jahazi aanzie wapi?.

Wanaume kwanini mnapenda kumchunguza BATA sanaaa matokeo ndo hammli kama hivo.

Katika yote, NIMEVUTIWA SANA NA SKILL YAKO YA PRESENTATION. Hakika una kipaji. Hongera sana.
 
This entry to marriage exam is too tough, hata napata wasiwasi juu ya lengo halisi la muaoji.
Nimepata mbinu ya kutumia kwenye mchujo wa wachumba....
 
Dada wee HARRIER BRAND NEW, NI GARI SIO USAFIRI!!! LOLEST!!! Ila bana vishawishi vingine vikubwa, unadhani angepewa STARLET USED FROM JAPAN angetgeka? Angekuwa anachagua nguo za harusi!!! lol!!!

Mwanaume si muoaji yule stress zinamsumbua.....yule kenge mwingine aliye tumiwa na mchumba wote hawana maana siwezi fanya jaribu la kuleta pressure kwenye uhusiano wangu....kama wataka kuoa means umemchunguza na kumwamini.....mbona wote wezi tu humu mjini....kwanini tuanze kufungana kengere!!

By the way ile card si alishapewa ya gari? kama anayo tell her to keep moving..small world kuishi kwa majuto...na bado yuko kwenye goli pale bank.
 
hawa wote lao moja hata mm ningempiga chini yaani hapo inathibitisha hata kama angeolewa bado pesa zingesababisha iwe hivyo. Unaijenga tabia kisha tabia inakujenga
 
Niajeeeee Wadau!!!!!

Hahahahaaaaaaa!!!! LOLEST!!! Leo nimecheka kweli japo ni jambo la kusikitisha! Japo sikuwa na nia ya kuileta hii stori humu, ila wadada wa mujini inabidi muijue mjihadharii!

Bwana, kuna mdada wa mujini shosti wanguu haswaa, yuko mjini kitambooo, tena mutoto wa temeke, anafanya kazi bank moja POSTA hukooo! Yupo dirishani pale basi full mauzo ya sura!

Huyo dada anamchumba (usiringie uzuri ringia bahati) anfanya kazi kwenye shikira la kiserikali japo yupo UGHAIBUNI a.k.a MAMTONI anasoma na inshaalah! anakaribia kurudi, mambo yao sio mabaya, mkaka kakolea sana juu yake, mahari ishatolewa, Mashalaaah! mwezi wa 3 mwakani Dada huyooooo anaolewaaaa! Mashosti tushapewa tenda ya kuwa MAIDS OF HONOUR ndo tunajidunduliza tuchange. Ukubwa dawa!

Sasa bi dada pamoja na kutulia baada ya KUSTAAFU kuwa homa ya jiji historia yake huko nyuma si ya KURIDHISHA.( Ndo maana rafiki yangu atii, sie warabu wa pemba!) Alijirekebisha, akasoma na kuaquire class katika jamii. Wale watu wa uswaa aliembakiza katika circle yake ni mie tu na sababu lazima ubakize back up kidogo jst incase!!!!

Wanasemaga your past always has a way to find you, no matter how far you run, (nikilifikiria hili nawewesekaga usiku!!LOLEST!!) Juzi kati kuna Bosi lilienda pale Bank kama mara 2 au 3 counter ya shosti kuomba tu balance !!!! ( TRUST ME THE ACCOUNT WAS FULLY LOADED Hahahaaaa). Bi dada akampa, mara akaombwa kutolewa lunch, na ZOMBINIZATION ikaanza. The Boss was super NICE!!! lolest!! Anamwaga tu minoti! Bi dada akaniita kikao cha dharura JEMBE lake la BACK IN THE DAYS, agenda kubwa ikiwa, ANATAKA AFANYE 1 LAST JOB YA KULICHUNA HILO BOSI achukue mafao mazito,anaomba mwongozo. Nikamwambia hilo TEGO wewe mtu akuombe balance afu akugande, kuna walakini! Mi nikamwambia wewe LIPOTEZEEE tu, itakuwa kuna umbea umepita, watu wanataka kupeperusha harusi hiyo, utakosa yote!!

Akagoma bana, akaifanya ile KAZI, akaahidiwa HARRIER MPAYAAA na akapewa KADI LA GARI KABISAA lina jina lake, brand new toka SHOWROOM za TOYOTA TANZANIA( Kadi muhimu unaweza potezwa maboya) ila kabla ya kupewa funguo ndo wakutane PARADISE pale posta baada ya kazi kulipana fadhilaaaa! Bi dada kapewa room number kaingia, kaoga kajipumzisha. Mlango ukagongwa akajua payback time, kufungua HAMADIIII !!!FIANCE!!! Kidogo afe! Fiance akamwambia NILITAKA KUDHIBITISHA KWA MACHO YANGU,SASA NIMEONA! KWAHERI!!!! Yule bosi nilimtuma mimi! Huyoooo kaishia, bi dada ndo kuniita tutafute a way out jinsi ya kuweka KIRAKA hapo mambo yakae poa!!!

Ataiweka wapi sura yake!!! Kisa cha kuachwa mji ukikijua??? LOLEST!!!! (Its not a laughing matter) Jamani embu toeni ushauri wa kujenga, makosa yake kesha yajua ila ndo katika kuokoa jahazi aanzie wapi?.

Wanaume kwanini mnapenda kumchunguza BATA sanaaa matokeo ndo hammli kama hivo.

kimsingi yule dada Chenga, yupo ktk uhusiano, ana kazi...bado pumbaaaaa
let people die for the wrong they did
KAMA SHIDA YAKE NI PESA AKAOLEWE NA BANK
 
Hapa inabidi tu nitoke nduki, maana hamna ushauri wa kumpa zaidi ya yeye mwenyewe kuilaumu tamaa yake, siku zote tamaa iliua fisi instead ya kupita njia moja ye alitaka zote dawa yake ndo hiyo ya kupasuka msamba, pole yake.
 
mchumba wake alikuwa hampendi alikuwa anatafuta njia ya kumwacha akaona afanye hivo. hey wadada wote jaribu kuchunguza kwa makini ikibidi mshirikishe na Mungu, hayo ni majaribu kabla hujaweweseka na hiyo mihela ambayo hukuitolea jasho omba Mungu akupe macho uone. Naamin tukifanya hivo tutashinda majaribu, fikiria kwanza huyu kaniomba nimpe balance afu ananitongoza, think twice guys.
 
Bora hawajaoana. manake huyo mume mtarajiwa anaonekana ni matatizo sana. kuchunguza bata anakula nini ndo ingekuwa issue yake sana. Mke angekoma na ndoa isingedumu. Hujaoa unaanza kuweka mitego!!!
Lakini pia huyo dada ni bonge la mcharuko. Hivi account balance ngapi zimenona hapo Bank?
jamaa angechapiwa my wife hadi afe kwa kihoro.
 
Akipata mwanasheria mzuri in a court of law situation hapo kuna kitu kinaitwa "entrapment".

Kwamba huyo dada hakuwa na nia ya kufanya hivyo mwenyewe ila alishawishiwa kufanya hivyo kwa kutegwa.

Haiondoi kosa moja kwa moja ila inawekea shaka dhana nzima ya usaliti.

Kati ya mwanamme anayemtumia majeshi mchumba wake ili kumpa majaribu ya kumfanya akubali usaliti na huyu msichana anayekubali nanai kaanza usaliti hapa?

Je huyu dada kama asingefanyiwa "usaliti" huu wa kutoaminiwa, angeweza kuufanya yeye mwenyewe bila kishawishi?
 
bi shost story umeiandika kiumbea,ila inahamasisha kuisoma.na huyo bi dada hata angeolewa,huo mchezo asingeuacha.mume kachacha kidogo,angetafuta wa kumchuna tu.na hajawa tayari kwa ndoa huyo,bora aendelee kuwa yupo yupo tu
 
The boss didn't set her up.

She set herself up and got busted.

It's her own fault for not being principled enough to adhere to the fidelity that is expected in a relationship unless theirs was an open one.

She has no one to blame but her own damn self (if she cares).
 
Back
Top Bottom