Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM Kata ya Nyachiluluma wilayani Geita Mkoani Geita Bi. Ester James amejitosa katika kinyang’anyiro cha kugombea Ubunge katika Jimbo la Katoro.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hayo ameyaeleza mbele ya vyombo vya habari leo wilayani humo ambapo amesema endapo atapitishwa na Chama cha Mapinduzi atahakikisha anaenda kutatua baadhi ya changamoto za Wananchi wa Jimbo hilo.