MAN OF CHANGES
JF-Expert Member
- Jan 9, 2011
- 507
- 191
Wana Jamvi kumekuwa na tatizo kubwa sana ktk nchi yetu kwa watendaji wa serikali kutowalipa walimu wapya posho zao za Nauli kama inavyoagizwa na serikali kuu.Wilaya nyingi sana nchini walimu wapya hawajalipwa pesa zao za nauli.
Nizungumzie hususani Manispaa ya Halmashauri ya Moshi Ambayo inaongozwa na mama Kinabo aliyemaliza mkataba wake miaka kadhaa lkn bado yupo ofsn mpk leo.
Walimu walioripoti ktk manispaa yake kwanzia mwaka jana na hawa wa mwaka huu hajawalipa pesa zao za Nauli achilia mbali wizara ya elimu kutoa kauli kuwa pesa zote zilishapelekwa wilayani kabla ya walimu kuripoti.
Kila siku walimu wanaoulizia wanaambiwa WANASHUGHULIKIA.
MAMA KINABO,WALIPE WALIMU PESA ZAO ZA NAULI,WALIMU ULIONAO LEO NI VJN SI WALI LOYAL ULIOWAZOEA,WANAJIPANGA WATAKUUMBUA