Bht. Bht, Bht, Bh, Bh, B,B............But why?

Msamehe ndugu yetu huyu...atapiga sala ya toba sasa hivi.

Hakusoma hapa

Retired Maj Gen DC (1947)
Kwa hisani ya umoja wa ulaya........................nisamehe DC kwani nimekosa mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana. Ndio maana nakuomba bht..........amina.
 
hahahaha........una akili sana wewe!!
najua umesoma between the lines.....

Soma hapa chini kwanza.... halafu kama kuna swali tena uulize

Retired Maj Gen DC (1947)
 
Kwa hisani ya umoja wa ulaya........................nisamehe DC kwani nimekosa mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana. Ndio maana nakuomba bht..........amina.

Ulishasamehewa siku nyingi saana...

Ndo maana hakukuwa na mchakato wa kuwasiliana na Robbott

Retired Maj Gen DC (1947)
 
wapendwa wangu, if you can xcuse me kidogo tu, si unajua hali yabgu hii.

much love to u all...

AFU fIDEL, MI BAN NAJIPIGA MWENYEWE......lol. plz dont read beyond my text eeeh
 
wapendwa wangu, if you can xcuse me kidogo tu, si unajua hali yabgu hii.

much love to u all...

AFU fIDEL, MI BAN NAJIPIGA MWENYEWE......lol. plz dont read beyond my text eeeh

Kapumzike tu mdogo wangu.

Hata hivyo naona leo umetupa shea kubwa, kutoka zero hadi masaa kama 4 si mchezo...ubarikiwe sana.
 
wapendwa wangu, if you can xcuse me kidogo tu, si unajua hali yabgu hii.

much love to u all...

AFU fIDEL, MI BAN NAJIPIGA MWENYEWE......lol. plz dont read beyond my text eeeh

Usijali..always happy to have u here....:A S-rose:
 
Ngoja niwahi wanzuki msalimie sana B

Mhhh,

Sasa wewe unawahi wanzuki kwa nini? Una laana?

Yaani TBL na Serengeti wantengeza hiyo kitu siku? Sema kama ni matatizo ya kuitu uzima tuwahi VODAPESA kabla hawajafunga...

Hebu mpe hi huyo mjela jela wetu ...Mwambie tunammisss sana na halafu awe anakumbuka ahadi zake!

Hope hajaingilia uwani!!
 
Hahahahaha bro.

Wanzuki inakata sana kiu kuliko hizo za TBL kiu haiishi kabisaaaaaaa.

Wajela jela bado analia na fitina hahahaha anasema wamemfanyizia haamini macho yake nikampe ngapi?
 
Hahahahaha bro.

Wanzuki inakata sana kiu kuliko hizo za TBL kiu haiishi kabisaaaaaaa.

Wajela jela bado analia na fitina hahahaha anasema wamemfanyizia haamini macho yake nikampe ngapi?

Mchape zozote hadi acheue mwenyewe...Mwambie kutoka kwa Mzee mstaafu!!
 
@B wa ukweli hmmm...
@kaka mkubwa DC nina maswali mengi ntaakuuliza hasa kuhusu bigirita na ze finest
@ we fidel mbona unauliza jibu au?
 
wapendwa wangu, if you can xcuse me kidogo tu, si unajua hali yabgu hii.

much love to u all...

AFU fIDEL, MI BAN NAJIPIGA MWENYEWE......lol. plz dont read beyond my text eeeh

:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
@B wa ukweli hmmm...
@kaka mkubwa DC nina maswali mengi ntaakuuliza hasa kuhusu bigirita na ze finest
@ we fidel mbona unauliza jibu au?

Ila hapo mmhhhhh..ukumbuke kuwa mwenzio naogopa sana kesi...Nina allergy na wale watu wanavaa majoho makubwa makubwa bila kujali hata joto la Bongo..
 
Home sweet home..........................there is no place like home........................................
 
Hapa mlikuwa mnamkaribisha nani?:llama::llama::llama:
 
wapendwa wangu, if you can xcuse me kidogo tu, si unajua hali yabgu hii.

much love to u all...

AFU fIDEL, MI BAN NAJIPIGA MWENYEWE......lol. plz dont read beyond my text eeeh

Mwaka huu pole sana bestlady
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…