Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,198
- 7,536
- Thread starter
- #61
Tanzania ni sehemu ya dunia, wengine duniani wanawaza namna ya kujipenyeza dunia nzima na kutengeneza influence dunia nzima , kuwa na ushaeishi Wa kidunia kwenye masuala ya kiuchumi, kijamii na diplomasia ya kimataifa.
Sisi ni sehemu ya international community.
Sisi ni sehemu ya international community.