Kutokana na taif letu kila kitu kuwa siasa yatupasa hata ushauri na mawaz kitaalam tuweke wenye siasa ili wanasiasa waone wawashauri wanasiasa na watendaji wafanyie kazi.
Wabunge htwale tuliowategema kuwa ni vijana pya hawaonekani kuwa na mwamko na mmbo mnegine nje ya siasa. Sasa hii ni series.
Tunwaomba wabunge wetu vijana Kina zitto, myika, Mdee, Kingwala, J.makamba na wengineo. wafikishe Pendekezo hilo huko kwa mama Tibaijuka wa wizara ya ardhi
Sasa Pendekezo langu wanasiasa mwambieni huyo mama Tibaijuuka na wizaraya ardhi na seriali kwa ujumla
- Goglemap ni driving force na refence inayotumika kwenye mambo mengi hivi sasa kama Utalii, usafiri, Biashara etcIwe ni kwa dunia u ht kwa nchi.
- Bara bara na majina ya mitaa ya kwenye ramani za tanzania hajakamilika.
- Hata mikoa mikubwa kama Dar, Arusha, Mwanza haina details kamili na za kutosha
Zoezi hizi likikamilika litachochea hata maendeleo mengine ya teknolojia kama watu kutengeza aps za direction. Hata helikopta zilizoptea kwenye uchaguzi zisingepotea kwa kutumia GPS ya google.
- Watoe ajira hata za muda ( Eg mwaka u miaka miwili) kwa watu waliosoma vyuo vya mambo ya ardhi kwa watu wawili au watatu kila mkoa waingize taarifa za mitaa vijiji na barabara kwenye Google map ya tanzania.
NB.
Meya wa rio-dejenairo brazil mara mbili kwa wiki anasema lazima aingie googlemap kutazama ramani ya jiji lake. Aliingia matatani na google pale satelite yao ilipochuua picha za eneo kama la manzese ikaacha kuchukua picha maeneo ya vivutio. Je kuna meya yeyoete hata huyo wa rusha ambaye jiji lke linatgema utalii anajua umuhimu wa googlemap. Je wizara ya utalii inajua umuhimu wa google map katika karne hii y dot.com.
Hiyo ni Beyond Politics part I
Wanaogopa itaonekana duniani kote. Wanaokwenda kuongopewa hapo marekani wakiiona Igunga ilivyo ninadhani vifaru vilivyomtoa Gadaf vitakuwa vichache. Tanzania ni vituko vituko vitupu.
Teh teh teh tehPigia mbuzi gitaa wewe. Ukichoka niambie nikusaidie gitaa
imenikumbusha ile thread ya website ya Ikulu
Kutokana na taif letu kila kitu kuwa siasa yatupasa hata ushauri na mawaz kitaalam tuweke wenye siasa ili wanasiasa waone wawashauri wanasiasa na watendaji wafanyie kazi.
Wabunge htwale tuliowategema kuwa ni vijana pya hawaonekani kuwa na mwamko na mmbo mnegine nje ya siasa. Sasa hii ni series.
Tunwaomba wabunge wetu vijana Kina zitto, myika, Mdee, Kingwala, J.makamba na wengineo. wafikishe Pendekezo hilo huko kwa mama Tibaijuka wa wizara ya ardhi
Sasa Pendekezo langu wanasiasa mwambieni huyo mama Tibaijuuka na wizaraya ardhi na seriali kwa ujumla
- Goglemap ni driving force na refence inayotumika kwenye mambo mengi hivi sasa kama Utalii, usafiri, Biashara etcIwe ni kwa dunia u ht kwa nchi.
- Bara bara na majina ya mitaa ya kwenye ramani za tanzania hajakamilika.
- Hata mikoa mikubwa kama Dar, Arusha, Mwanza haina details kamili na za kutosha
Zoezi hizi likikamilika litachochea hata maendeleo mengine ya teknolojia kama watu kutengeza aps za direction. Hata helikopta zilizoptea kwenye uchaguzi zisingepotea kwa kutumia GPS ya google.
- Watoe ajira hata za muda ( Eg mwaka u miaka miwili) kwa watu waliosoma vyuo vya mambo ya ardhi kwa watu wawili au watatu kila mkoa waingize taarifa za mitaa vijiji na barabara kwenye Google map ya tanzania.
NB.
Meya wa rio-dejenairo brazil mara mbili kwa wiki anasema lazima aingie googlemap kutazama ramani ya jiji lake. Aliingia matatani na google pale satelite yao ilipochuua picha za eneo kama la manzese ikaacha kuchukua picha maeneo ya vivutio. Je kuna meya yeyoete hata huyo wa rusha ambaye jiji lke linatgema utalii anajua umuhimu wa googlemap. Je wizara ya utalii inajua umuhimu wa google map katika karne hii y dot.com.
Hiyo ni Beyond Politics part I
I support your idea 100% nimekuwa nafuatilia google earth na pia google maps ambazo pia zipo kwenye mobile phones nyingi hapa bongo lakini tatizo ni hilo la kutokuwa na updates za barabara zinazopitika wala majina ya barabara, vituo na hata majina sahihi ya mitaa.
hivi umeshajiuliza kwa nini majina ya vituo vya daladala hayana maana (hayaendani na mitaa) na yanakuwa ditermined na makonda mf. bucha, kona, kwa remmy, tiptop? mahakama ya ndizi nk
ni wazi lazima kitu kifanyike haraka ku rescue the situation.
wazo lingine ni kuwa na idara ya usafirishaji katika halmashauri (au katika kata) ili kuratibu mambo hayo pamoja na flow ya magari