Beyonce photo ya Kiafrica

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
09966926.jpg
 
Walimpaka makeups nyeusi ilia apate kuonekana muafrika waukweli nadhani ilikua ni project ya jarida fulani hivi
 
mi naona simjui beyonce, hafanani kabisa kwa sura acha iyo rangi
 
Mi naona its so fake hiyo picha, angeacha kupaka mkorogo (nasikia apaka kojic acid) for a week, a true african skin would have revealed.
 
Kwa hiyo sisi waafrika tunaonekana kama tumepakwa kiwi au?:A S 13:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom