Masafa Marefu
Member
- Jun 30, 2015
- 77
- 70
Kwanza nani kamwambia mwonekano wa mwanamke mwenye mimba haupendezi? Mi mwanamke mwenye mimba yaani huwa napenda niwe namwangalia kila wakati. Yaani huwa namtupia jicho (la heshima) mara nyingi sana.
Pamoja na kwamba mimba zinaharibu shape, kuna nguo zinafanya mjamzito aonekane vibaya zaidi. Nguo gani sasa hiyo kavaa! imemtoa kama butternut. Angevaa nguo inayofaa angeonekana maridadi.